Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwenye Insta story yake Msigwa maeandika "Mnaojaribu kupotosha kauli yangu nilipojibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu mada ya utekaji achane kufanya hivyo. Nilichosema ni kuwa serikali inalaani vitendo vya utekaji na vitendo vyovyote...
Usiku huu huko Kakola Bulyanhulu raia wameandamana, barabara zimefungwa.
Raia wanamtaka mtu wao ambae ametekwa leo na watu wasiojulikana moja wapo wa kijana aliyetekwa anaitwa Ibrahim Mfangavo
Taratibu tunaelekea pazuri
Taarifa ya awali aliyoitoa Hilda Newton
HABARI MBAYA Leo Wilaya ya...
Huwenda uchaguzi wa mwaka huu ukawa wa aina yake na kuwa na hisyoria ya kipekee
Nchi iko kimyaa utadhani tupo kwenye msiba wa kitaufa, mijadala mingi inayotawala mikusanyiko ni, makanisa kuzingirwa na polisi, utekaji, watu kupotea na matukio mengine mengine tu na siyo uchaguzi na kampeni...
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na...
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa,
Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema
Pili Mbona wote ni wa Chadema...
Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na ndio maana hakuna hata mmoja alieona thamani ya kujiuzulu ubunge na kukataa kuwa sehemu ya Bunge...
Conclusion: Kuna watu wakitoweka na kufariki ni serikali imehusika, ila sio kila mtu akitoweka na kufariki katika mazingira tata ni serikali imehusika!
Haya, tumewasikia. Tulisema siku nyingi, mtajikuta mmeongea hata bila kujitambua!
Chanzo: Nipashe
Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za...
Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika...
Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali.
Video: Kitenge TV
Matukio ya Watu Kupotea katika mazingira ya kutatanisha, Kutekwa na wanaoitwa 'Watu Wasiojulikana', na wengine Kuuawa yameendelea kuzua hofu miongoni mwa Wananchi. Je, ni nini sababu ya Matukio haya?
Ungana nasi katika mjadala maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums kujadili matukio haya na...
Kwa masikitiko makubwa, nashangaa kuona eti maisha na uhai wa watu unaweza kukatishwa kwa sababu zinazoitwa ni Siasa!
Ni ujasiri uliopita kiwango cha Rehema za Mungu, mtu anapoamua kumdhuru mtu, kumtesa na kumwaga damu yake kwa madai ya kuendelea kubaki kwenye nafasi za kisiasa huku akijua...
Wasalaam Watanzania!
Natumaini wote ni wazima wa afya kabisa na tunaendelea na kujilinda.
Kwanza kabisa naomba ku-declare interest, Mimi sio Mwanachama wa chama chochote cha siasa na wala sijawahi kugombea nafasi yoyote ile katika chama chochote cha siasa bali ni muumini wa HAKI na Viongozi...
Jumla ya watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31 mwaka 2024, ambapo jumla hii ni kwa wale tu waliofika kwenye ofisi za ITV Mikocheni Dar es Salaam, na taarifa zao kutangazwa kupitia kipindi cha Yu...Wapi?.
Mgawanyo ya Watu waliopotea
Chini ya miaka 18 - 21 (Wanawake 8, Wanaume 13)...
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga...
Habari wakuu,
Mimi nimefuatilia kwa muda idadi ya watu wanaopotea nchini nikabaini mambo matatu. Kuna masuala inabidi Wizara ya Mambo ya ndani isimame na kuanzisha kitengo ambacho kitasafisha jeshi ka polisi.
Jamani watu wanapotea kwasababu 3 tu
1. Ushirikina, tunaingia mwaka uchaguzi nadhani...
Demokrasia ya Tanzania bado ni changa na kuvumiliana Siasani kuko very limited
Mikutano ya Kisiasa huamsha hisia, mihemko na Mijadala isiyo na tija kwa Wananchi hivyo kuwapotezea Muda wao wa kuzalisha na kujipatia kipato
Ndio Sababu wakati wa katazo la Mikutano ya holela ya Wanasiasa nchi...
Mrejesho: saa 11:08
Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi. Vicheko vimetawala ndani ya gari hiyo
Aksanteni kwa maoni yenu na faraja yenu
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa
Ila...
Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuna mawazo kinzani juu ya hili swala la utekaji.
Serikali inasema hilo jambo halipo na watu wanajifanyisha tu maigizo ila utekaji haupo. Rejea kauli ya Rais.
Ukija bungeni spika anazuia jambo hili lisijadiliwe bungeni hata kinafiki tu ili kufunika kombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.