watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wafanyabiashara Mbeya acheni kuajiri Watoto kwenye biashara zenu, wasaidieni wapate elimu

    Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
  3. JamiiForums Tanzania Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  4. JamiiForums Tanzania Karibu katika wakati wa kizazi kipya cha Gen Beta

    Karibu Gen Beta Mwaka 2025 unaenda kuweka alama rasmi ya ujio wa kizazi kipya, kwa urahisi tu tunawajumuisha kwa kuwapa jina BETA. Kizazi hiki ni kile kitakachoanza kuzaliwa kati ya miaka ya 2025 na 2039. Kizazi Beta kinakadiriwa kuongeza 16% ya idadi ya watu ulimwenguni. Ni uzao huu utakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

    Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
  6. JamiiForums Tanzania Watu waliozaliwa miaka ya 80s ndo hawa walikuwa wazinzi sana na leo watoto wao wanapita mule mule , karma is real.

    Niliwaambia miaka ile kuwa acheni uzinzi mkawa mnashupaza shingo. Mmchezea Sana watoto wa watu na kuwaharibia maisha n.k Sasa tazameni watoto wenu wa 15-18+ ni hatari Sana Hiyo ni karma hamna uchawi. Eti mtu Ana miaka 35 tayari Ana mjukuu ni hatari Sana MTU Ana 40 tayari Ana wajukuu watatu
  7. JamiiForums Tanzania Sikukuu ni kwa ajili ya watoto na wenye pesa

    ,
  8. JamiiForums Tanzania Wanao date na watoto Wa 2000 sijui wanawezaje?

    Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana. Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda wote,vinaweza kukufuata sehemu ya kazi vikatia kambi hapo kinakupigisha stori hakuna cha maana. Mimi na viona...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Niliwatukana sana wanaotelekeza watoto na wake zao. Mnisamehe

    Kuanzia mtani kwangu, masela wangu na hapa na pale. Nilikuwa sipendi kusikia mtu katelekeza watoto au mke wake. Braza wangu yamemkuta. Aisee usiombe. Jana tulikuwa kwenye kikao cha kugawana watoto tuanze kuwasomesha na kuwalisha. Hakuna namna sasa, hawa wanawake wanabadilika sana. Braza...
  10. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mzazi Anaweza Lea Watoto Kadhaa Lakini Watoto hawawezi Kulea Mzazi Wao

    Nikiwa ndani ya mwendo kasi miezi kadhaa iliyopita,abiria mwenzangu anaongea na mtu kwenye simu kuhusiana na watoto ambao wameshindwa kumhudumia mzazi wao apate matibabu Baada ya kukata simu yule bwana nikaendeleza mazungumzo yake kwakuwa yalinigusa sana,ndo akanipa kisa cha watoto takribani...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wako hawataonja Umaskini🙏

    Watoto wako hawataonja Umaskini🙏
  14. JamiiForums Tanzania Likizo hii watoto wako wanafanya nini? Je, unawafundisha ujuzi wa maisha ya kila siku tofauti na shule?

    Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji. Ilipofika muda wa malipo akanielekeza dirishani nikalipie. Kufika hapo dirishani nikakuta mvulana...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Pesa inayofaa kuacha kwa matumizi ya familia yenye watoto wawili wasiozidi miaka 5

    Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo: Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania WATOTO WANAOFANYIWA UKATILI, JE WANAPATA MSAADA ILI WAPONE?

    Jiulize mtoto 1. Aliyebakwa 2. Aliyelawitiwa 3.Aliyetelekezwa na wazazi 4. Aliyekataliwa 5. Aliyeshuhudia baba akimpiga mama. 6. Aliyeshuhudia mama akimpiga baba 7. Aliyeshuhudia baba na mamá wakipigana 8. Aliyeshuhudia baba na mamá wakitukanana,kutoleana maneno machafu n.k 9. Aliyeshuhudia baba...
  17. JamiiForums Tanzania ONESMO MUSHI; Mbowe alipotangaza maandamano alijikuta na watoto wake na waandishi wa habari mkifanya masihara nextime hata hao waandishi hamtawaona

    BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21. Ndugu Wajumbe, Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja. Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  19. JamiiForums Tanzania KAWAPIMENI WATOTO WENU AFYA

    Habari za sikukuu wapendwa Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana na leo nimeshuhudia pairs zaidi ya 20 za watoto miaka 10-15 wakitoana out na kufanya adultery...
  20. JamiiForums Tanzania Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

    WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…