Ndugu zangu Watanzania,
Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo.
Ni...
Kwasababu waliouwawa wengi ni vijana, halafu pili wengi wao walikuwa wanaishi mjini, halafu tatu maisha ya mjini yalivyo magumu, na halafu nne baba ndiye nguzo kuu ya familia.
Basi watoto wa mtaani wataongezeka kuanzia sasa na kuendelea, maana kuna wengine wameachwa na mimba.
Nasema wazi usijichumie dhambi Bure...
Hio hela peleka kwa watoto yatima na wasiojiweza, kwenye vituo vyao wanamotunzwa ama kule hospitalini ambao wanakosa elfu 20 ya matibabu, wengine wanakosa hela ya kutoa ndugu zao mochwari, hakika utapata thawabu
Mtume
Sallallahu Alayhi Wasallam, katika...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima.
Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine...
" Aisee ndugu yangu ukitaka jambo Lako liende wewe nenda kafanyiwe Dua na watoto yatima. Yani majibu ni papo kwa papo. Dua zao Mungu anazipokea hapo hapo "
Hayo si maneno yangu, bali ni maneno ya MTU mmoja mvivu wa kufikiri na mkwepa majukumu.
Uliongea na Mungu Lini akakwambia huwa anapokea...
Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni tatu kila mmoja kwa kosa la kuwakeketa watoto watatu yatima wa familia moja.
Watoto hao walikuwa...
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, wakiongozwa na katibu wa chama hicho mkoa Bi Pili Augustino wametembelea vituo vya watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kutoa sandaka ya vitu mbalimbali ikiwemo Mchele, mafuta, maji, juisi, unga wa ngano, mbuzi na vingine...
Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima
Diamond Platnumz alitoa msaada wa nguo kwa watoto yatima jambo lililowapa faraja watoto yatima pamoja na walezi wao lakini jambo la kushangaza ni...
Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025.
Taarifa...
Wakuu
Kundi la wasanii wanaojlikana kama Samia Kings linaloundwa na Madee, AY na Chegge, limetangaza kufuturisha watoto yatima na wenye uhitaji maalum mnamo Machi 22, 2025. Hafla hiyo inalenga kuwapa faraja watoto hao wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Pia,Soma
Picha: Samia Kings (AY...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.
Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua...
Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa...
Wakuu,
Bilionea Saidi Lugumi amesema kwa sasa kuna watoto yatima zaidi ya 800 kutoka maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam ambao anawahudumia kwa kila kitu ikiwemo chakula, mavazi, malazi, elimu, afya nk, na hiyo inatokana na wito alionao kutoka kwa Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Lugumi...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar
Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa Foundation Zahra Issa Kassim wakati wa ugawaji wa vifaa vya skuli kwa watoto yatima huko Mpendae Wilaya ya...
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba.
Lengo kuu ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula na mahitaji binafsi ikiwa ni...
Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima.
Kesho ima faima łazima heshima irudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.