Ukiona ndugu zako wanaku treat vibaya ukiwa huna pesa basi ujue hio ndio tabia yao ya kweli, pesa zinawafanya wawe wanafki tu.
Siku ikitokea umefariki na umeacha watoto basi ndugu zako watawa treat vile vile kama ulivyokuwa huna pesa.
Hakikisha unajenga nyumba, ikitokea umefariki, watoto...
Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka.
Tunaandaa wanafunzi wa:
– KG 1 hadi Advance Level
– NECTA, Cambridge & International Curriculum
– Home Schooling, Special...
Niliyoyagundua
Sebuleni kuligeuka Bedroom siku za mwanzo - TV ilikuwa on muda mwingi, wavulana utawakuta kwenye Game au mabinti kwenye series
Chakula tulichowapimia hakikutosha hasa ubwabwa wa usiku, ilibidi vikombe vya ziada viongezwe
Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma.
Picha Linaanza simu ya...
Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali.
Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la...
Heshima mbele wakuu.
Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji.
Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo.
Hata wezi nao pia watoto wanaiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.