watoto wa viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Tabia ya baadhi ya Watanzania kuabudu watoto wa viongozi imekithiri na inatikiwa iishe.

    Kuna tabia ya hovyo imezidi kukithiri ya baadhi ya watu tena wengi wao masikini makapuku kabisa kuwakejeli na kuwazodoa watu wanaolalamika baadhi ya watoto na ndugu wa viongozi kujikatia mapande makubwa zaidi ya keki ya taifa(upendeleo). Hawa watu wanasema watu wasikosoe au kulalamikia watoto na...
  2. Econometrician

    GE2025 Kuelekea kura za Maoni kesho kutwa: Yafahamu majina ya watoto wa viongozi/ndugu wanaogombea majimboni

    1. Dorothy Aidan Mwaluko - Manyoni 2. Vita kawawa - Namtumbo 3. John John Nchimbi - Nyasa 4. Salum Chaurembo - Kisarawe 5. Haszan Shelukindo - Lushoto 6. Malumbo Philip Mangula - Wangin'gombe 7. CPA John Cheyo - Kwimba 8. Ahmed Mkulo - Kilosa 9. Peter Sarungi - Rorya 10.Kambarage Masato...
  3. Parabolic

    Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija. No Reforms No Election ni kampeni...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Watoto wakisoma shule za St. Kayumba wanakua strong sana kichwani na wanakua na hekima msikilize Jesca Magufuli

    Elimu siyo tu madarasa ya kifahari, bali ni msingi wa maadili, busara, na hekima. Watoto wa viongozi wanaosoma shule za kawaida kama St. Kayumba hukutana na changamoto nyingi zinazowajenga kiakili na kimaisha. Hawa watoto hujifunza kuwa na nidhamu, kuwaheshimu watu wa kila hali, na kuthamini...
  5. Waufukweni

    John Heche: Viongozi hatupeleki watoto wetu shule za Kata kwani hatuziamini?

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema moja kati ya jambo linalothibitisha kwamba elimu ya shule za serikali si nzuri na haiaminiki ni hali ya viongozi wa juu serikalini ma kwenye vyama vya siasa kutopeleka watoto wao katika shule hizo.
  6. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Viti Maalumu Kwa CCM ni nafasi za watoto wa Viongozi na Ndugu zao , MTU anakua Mbunge mpaka Sasa miaka 20 Bungeni !!

    Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu. Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi?? Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!. Hata wa Makundi maalumu pia, Mbunge Keisha Kawa Mbunge zaidi ya miaka 10 , sijawah Msikia anachangia,,, ni kweli hamna...
  7. Mshana Jr

    Kila nyakati na majira yake! Thamani yako itakoma ukitoka kwenye cycle

    Kama kuna la kujifunza wengine wajifunze sasa. Na ni lazima wajilazimishe kutambua ya kwamba kuna kesho. Na kesho ni kubwa kuliko leo Watoto wa wanasiasa.. Wazazi wenu baadhi mikono yao imejaa damu za watu. Wengine walifika walipofika kwa kuwakandamiza na kuwaumiza wengine. Watoto wa wanasiasa...
Back
Top Bottom