Wakuu,
Nimeona taasisi na ofisi mbalimbali wanaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Mteja ambayo imeanza Oktoba 5 hadi 9, 2026. Lakini kwangu mimi, kama mnufaika wa huduma, kuna vitu au tabia ambazo huwa sipendi kufanyiwa na watoa huduma.
Moja wapo ni pale ninapofika sehemu, kama dukani, kisha mtoa...