wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania VodaCom wamejipata sasa hivi hawana shida na wateja Kila ikifika jioni mtandao shida Huku kwetu

    Voda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.
  2. JamiiForums Tanzania Usitoe ofa bila sababu unapoteza wateja badala yake tumia mbinu hii

    Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua . Dunia ya sasa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Biashara kiganjani. Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato

    N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu. Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha na mini logistics, niliwahi kuandika humu >> link << Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Biashara kiganjani, Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato,

    moved jukwaa la biashara
  6. O

    JamiiForums Tanzania Airtel mnaboa na maboresho yasiyoomekana

    Message za maboresho nimepokea kama mara tatu kwa wiki tena maboresho kwa muda tofauti tofauti na Leo yanafanyika mchana why? Angalieni muda mzuri wa kufanya hayo maboresho ikibidi mfanye usiku wa manane Mnafukiza na ku lower trust kwa wateja sababu ya usumbufu huu. Walau mfanye usiku...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba madaktari huwatibu vizuri na kuwajali zaidi wateja wanaolipia cash badala ya bima ?

    Kuna ukweli wa hili jambo ?
  8. JamiiForums Tanzania Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

    Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga. Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa. Moja haisomi Mbili haikai. Sasa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kuongeza idadi ya wateja wa magimbi na viazi

    Wakuu, tupeane maujuzi ya kuongeza idadi ya wateja wa hizi bidhaa. Kuna siku namliza gunia la 25kg(magimbi) na siku nyingine znatoka fungu mbili tu daaah Hii ni kwangu tu au na nyie inawakumba/ga Biashara inatia stress!
  11. JamiiForums Tanzania CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

    Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja. Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

    Azam tv kwema, Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
  13. JamiiForums Tanzania Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utakuwa unakatiwa simu mara nyingi, usipozingatia haya unapopiga simu kwa wateja (kwenye sales)

    Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio? How many calls you make per day, give you reflections to your sales volume. Kama hujui haya mambo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Shopppers Masaki hawana utu kwa wateja wao

    Wakuu, Nimekusanya mahitaji yangu na kwend sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya TIGOPESA MASTERCARDS. Nikapokea msg ya kukatwa kwa malipo niliyofanya na nikawa najiandaa kuondoka na mzigo wangu nikapigwa stop,kwamba hawajapata malipo. Nikaenda sehemu ya muhindi anayehusika...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia tarehe 26 Agosti 2024...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Shoppers ya Masaki ni hawana Utu kwa wateja wao

    Wakuu, Tusaidiane kidogo ,Leo wakati nimekusanya vihela vyangu nikasema nipite shoppers ya MASAKI, ninunue vitu kidogo kwaajili ya mahitaji ya nyumbani. Basi nimeshafanya machaguzi ya vitu natama nikaenda sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya SELCOM,Tigo. Malipo yalitakiwa kuwa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Jumamosi, 17 Agosti 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Wenye Mabaa sehemu mbalimbali hii Kero ina maana imewashinda au mnataka sasa Wateja wenu tutembeze Kichapo kwa hawa Watu ndiyo muelewe tumechoka nao?

    Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili...
  20. JamiiForums Tanzania KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…