wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Jumamosi, 17 Agosti 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia...
  2. JamiiForums Tanzania Wenye Mabaa sehemu mbalimbali hii Kero ina maana imewashinda au mnataka sasa Wateja wenu tutembeze Kichapo kwa hawa Watu ndiyo muelewe tumechoka nao?

    Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili...
  3. JamiiForums Tanzania KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  4. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  5. JamiiForums Tanzania Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
  7. JamiiForums Tanzania Kobe Motor yatoa zawadi kwa wateja wake

    Na Mwandishi Wetu Kampuni ya kuuza magari yaliyotumika kutoka Japan ya Kobe Motor,imetoa zawadi mbali mbali kwa wateja wake ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na wateja pamoja na kusherehekea mafanikio yake. Ikiwa ni moja kati ya makampuni makubwa ya Kijapan yanayoongoza kwa kuuza magari...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya matangazo usishangae kuona hupati wateja

    Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM, Ameanza kwa mtiririko huu ∙ Supu ya Samaki ∙Choo cha kulipia ∙Chapati ∙maandazi ∙Wali + Pilau ∙Chips Karibuni sana, Katika hili tangazo lake kosa kubwa alilolifanya ni kuandika Choo cha kulipia katikati ya tangazo la chakula...
  9. JamiiForums Tanzania Pambano la muuza madafu wa ikulu halikuchezwa na hakuna sababu zilizotolewa. Azam mnatudharau wateja

    Jumamosi ni siku ya kwenda kula mbuzi Kibaha(Loliondo). Lakini kwa ugumu wa hela nikaona nisiende Kibaha nilipie kifurushi ili kumuona Muuza Madafu wa Ikulu akipambana ulingoni. Saa moja mapambano yakaanza na tukamuona Muuza Madafu anaingia kwenye uwanja hivyo nikajua hapa kweli jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Lesson 2: How to Choose Clients Who Value You (Chagua Wateja Wanaokuthamini)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena. Nimekaa nje siku nyingi sijapost, lakini nimerudi tena mchezoni. Changamoto za hapa na pale, lakini nothing that I couldn't handle, by God's grace (hakuna kisichoshindikana kwa Mungu). Nimekuwa na threads kadhaa kuhusu Upwork hapo nyuma. Kwa imani kuwa platform ina...
  11. T

    JamiiForums Tanzania "Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

    "Unaweza usiamini kwamba ni Tanzania tu inatokea kwa mara ya kwanza duniani, kwamba biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi. Yes amini Mwendokasi inakufa huku ongezeko la wateja ni kubwa sana na haina mpinzani ni wao tu Dar nzima. Hivi sisi ni akina nani? sisi ni MANYANI" Anasema Yerico...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya kuongea na huduma kwa wateja Vodacom ambayo sio 100

    Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana. Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao. Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali? Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
  13. JamiiForums Tanzania KERO Biashara ya lodge Sinza, Manzese na Tandale ni hatari kwa sasa! Wateja na wamiliki wanadhalilishwa na polisi kwa kisingizio Cha madada poa!

    Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine! Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
  14. JamiiForums Tanzania Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

    Msako uliofanyika Ubungo Riverside unaendelea Sinza. Nadhani muda wa kwenda viwanja mbali na maeneo ya uyu Mkuu wa Wilaya. Hapa naona ni mitaa ya Vibe Lounge (zamani Corner Bar) Sinza Mori.
  15. JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

    Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features. Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
  16. JamiiForums Tanzania Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

    Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni. Na Mungu atawabariki.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchanganya content kwenye social media account za kibiashara, inatukosesha Sana wateja na Kama sio wote Basi wateja serious tunawapoteza

    Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia kipato. Moja ya vitu nilivyo vi observe na nikaona vinatugharimu Sana hasa kwenye mtandao wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

    Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo. Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je, Unauza nini ndani ya Jiji la Dodoma na unahitaji wateja?!

    Ukiwa unauza Kiwanja, Nyumba, Gari ama pikipiki n.k ndani ya Jiji la Dodoma Basi usisite kunitafuta ili tutafute wateja kama una bidhaa pia nitumie kwenye namba hizi CALL AND WASAP 0785076070 HATA KAMA UNA BIASHARA INAHITAJI WATEJA USISITE KUNITAFUTA. AHSANTE I 🤝
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…