watatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kisa cha ''wachawi watatu'' katika Macbeth ndani ya ukumbi wa mjadala wa kura tatu Tabora 1958

    Leo FB imenirushia kumbukumbu ya mkutano wa Tabora kuhusu Uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958. Uchaguzi huu nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes na katika mihadhara kadhaa niliyopata kufanya. Vilevile nimeandika kitabu ''Uamuzi wa Busara,'' (2007) kuhusu Kura Tatu. Leo...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara watatu kizimbani wakidaiwa kuingiza vifaa vya mawasiliano Tanzania bila kibali

    Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kuingiza na kusimika vifaa vya mawasiliano bila kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) pamoja na kuisababisha Serikali hasara ya Sh69 milioni. Washtakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi kumi (10) Bora Tanzania

    Tanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa. Tunaona mifano ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambaye amepigania uhuru si kwa nchi ya Tanzania tu...
  4. JamiiForums Tanzania Watatu wafariki baada ya kutumbukia mtoni Tarime

    Watu watatu wamefariki dunia wilayani Tarime mkoani Mara kufuatia daraja la mto Msati uliopo katika barabara kuu ya Sirari - Mwanza kuvunjika na kisha kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani hapa. Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…