watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania huwahi kwenda wapi na kwanini?

    Sasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwanini hata mnawahi mnakokwenda? Tanzania hakuna productivity yoyote, hakuna promotion kwamba hard worker atakuwa rewarded na kuwa promoted, sasa hizi mwendokasi, sijui express...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

    Nimeona utendaji wa kazi na watu kutoka nchi mbalimbali, na katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana la tabia ya uzembe kazini, inayosababishwa na uvivu, kutojali, kutokuwa makini, au kufanya kazi ikiwa tu tunasimamiwa na bosi. Hatujui kujituma kwa hiari...
  3. JamiiForums Tanzania Taasisi ya goodwill foundation waungana na Rais Samia kuponya maisha ya watanzania

    Zaidi ya vijana 70 wanaounda Taasisi ya GoodWill Foundation wamemuunga mkono Rais Samia suluhu Hassan kwa kujitokeza kujitolea damu kwenye Kituo cha damu salama kilichopo Muhimbili jijini Dar es Salaam. Wanafunzi walijumuika kutoka Vyuo mbalimbali vya Dar es salaam, wamefika uamuzi huo baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nitazunguka nchi nzima kuueleza uhuni na uongo wa Chadema kwa watanzania - Msigwa

    "Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu...
  5. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ni Wakati wa Watanzania kuchukua hatua

    Watanzania tunapopatwa na changamoto fulani, wengi wetu huishia kulalamika tu, badala ya kuchukua hatua. Hali hii imefanya watesi wetu kuzidi kutuonea Kwa sababu hata wao wanajua Kuwa hatutochukua hatua yoyote ile zaidi ya kuishia kulalamika. Jambo hili hupelekea kutokuwajibika. Na kadri mtazamo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

    Ndugu zangu Watanzania, Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye akili wanauliza: Watawalawa Tanzania, wamejifunza lolote kutoka maandamano ya Gen Z Kenya. Jibu ni hili hapa chini

    1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza? JIBU: Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa .1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them 2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi letu limetutenga Watanzania

    Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
  11. JamiiForums Tanzania Elimination of obstacles to progress? Tayari watanzania wameshashau juu masaibu yanalikumba taifa lao

    Huwezi kuwasikia wakihoji juu ya bajeti iliyopita kama itawaletea manufaa tena Maana sasa kila kona ni juu ya jamaa aliyetekwa na wasiojulikana. Siku zote ni watu wa kufikiria mambo wanayoyaona kwa ukaribu. They are myopic in their minds. Wamesahau tayari juu Mgomo dhidi ya tozo na kodi...
  12. JamiiForums Tanzania TEARS VIDEO: Hii Inaweza Kukupa Taswira kwa Nini Watanzania Mnanyimwa Elimu

    Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako. Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
  13. JamiiForums Tanzania Bunge Lisilo Na Faida Kwa Watanzania Lijitafakari

    Tukitaka kuwa wakweli kwa nafsi zetu, Bunge la Tanzania la sasa halina faida wala msaada kwa Watanzania. Nina hakika hata kama lisingekuwepo, hakuna ambacho kingebadilika. Hili ni Bunge ambalo chochote kinachopelekwa Bungeni na Serikali, lazima kitapitishwa kama kilivyo. Namna nyingine, tunaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Watanzania ni hawana uchungu kuliko Wakenya?

    Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, Meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya. Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari? Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama anaenda Oman kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
  15. JamiiForums Tanzania Sasa ndiyo utawajua Watanzania walivyo Wanafiki baada ya kwenda Kwako Nyavuni kuanzia Leo nao Wote sasa Watakugeuka na Kukucheka pia

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebariki kifungo cha mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina cha kutohudhuria vikao 15 vya Bunge mfululizo kwa kosa la kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa alilidanganya Bunge kuhusu sakata la kuagiza sukari nje. Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania na Wakenya katika suala la uzalendo kwa nchi zao!

    Nawalinganisha kama ifuatavyo: 1. Viongozi Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara. Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati Nyerere, Magufuli na Sokoine. Kwa sasa, kuna Tundu Lissu, Jerry Slaa, Joseph Warioba, n.k., lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Watanzania hatuandamani kama Wakenya- tunashirikishwa

  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Watanzania tufundishwe ujuzi wa kutenda zaidi

    Kabla ya kuendelea na mada husika ningependa kwanza tuelewe maana ya ujuzi. UJUZI ni maarifa aliyonayo mtu katika kubuni, kufikiri, kuunda na kutenda jambo au kitu kitakachomsaidia yeye mwenyewe au jamii yake inayomzunguka katika maisha yake ya kila siku. UJUZI WA KUTENDA ni ujuzi ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Kilwa Beach Lodge iweke tangazo rasmi kama haitaki waafrika na watanzania

    Shalom, Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote. Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kenya Dhidi ya Finance Bill 2024, Watanzania Waitamani Kenya

    Siku 3 hizi ambapo maandamno ya vijana wa KENYA yameshamiri kupinga Finance Bill 2024, huku nchini kwetu kwenye social media nimeona kuwa Watanzania wanatamqni na sisi kwetu ingetokea kama Kenya. Sijui tuna upungufu gani wa maono ila mdharau pazuri, pabaya pana msubiri PIA SOMA - Nguvu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…