Habari Wana bodi, kama tittle inavyojieleza, kuelekea uchaguzi mkuu tumeona mamia ya watu wakitekwa na kwa isivyo bahati, serikali ya CCM haijatoa ushirikiano katika hili jambo, aidha mgombea wao amechagua kukaa kimya.
Je, watu ambao wanatamka kulinda utu wa Mtanzania kwa maneno tu bila vitendo...