Kama mtu anaweza kuua, kuteka, kusingizia kesi,, kuua maelfu ya watu tena wasio na hatia na hawajakosea lolote... je mtu wa namna hio anashindwa kufanya biashara ya kuuza cocaine?
Hivi kuna jambo gani gumu au uhalifu unaozidi utesaji na mauaji ya watu wasio na hatia...
Kwenye filamu ya El...
Mfano mzuri ni ushahidi wa yule bibi wa Magomeni kota ambae alilazwa na maiti bahati nzuri akazinduka na akapatiwa matibabu Mungu akamsaidia akapona.
Kwa ujumla nguvu kubwa ilitumika kulinda watawala wabaki madarakani.
Mpaka sasa Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa?
MADHARA YA KUMWAGA DAMU ISIYO NA HATIA KULIKOFANYIKA KTK NCHI YETU
Baadhi ya Nukuu ktk hotuba hii:
Askofu Gwajima: "...Haiwezekani unamuona mama mmoja anaenda shambani au kwenye shughuli zake Kisha anapigwa risasi anakufa. Au baba mmoja yumo ndani ya nyumba yake tena uvunguni anafuatwa...
Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi.
Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.”
Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta vurugu ili walinda amani wakivamia kikundi waonekane wana supporters wengi
Kama mwizi anavyochoropoka...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KAMATI KUU YA SIASA
TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025
Imetolewa Tarehe 15/11/2025
Utangulizi
Taifa letu la Tanzania lilifanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa Rais, Wabunge na Madiwani Tarehe 29 Oktoba 2025. Katika uchaguzi huo Shura ya Maimamu Tanzania ilikua...
Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Hapa ndo utauona umaana wa Iran sema tu Iran hana msaada lakini ni mtetezi wa watu wa Palestine
Bahati mbaya naye kapigwa kama mtoto mdogo, mda huu anaugulia maumivu, tumpe pole
Israel anaendelea kuuwa watu wasio na hatia tokea jana usiku mpaka mda huu...
Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana. Hatutakubali kuona ndugu zetu wakipotea bila sababu, haki kupotoshwa, na sauti za wanyonge kufifia...
Nature haitowaacha salama hawa watu na huyo wanaemtumikia unless anabadilika but I think it is already too late(anasubiri tu adhabu).
Nature husaidia viumbe hai kuishi kulingana na jinsi walivyo lengo kuhakikisha viumbe hai wanaendelea sio tu kuishi, bali wanaishi kwa namna alivyokusudia...
Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa amekwenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Iran. Akasema kuwa baada ya Israel kumuua Jeneral wa Iran...
Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
Vyombo vya dola, ni taasisi muhimu sana katika nchi. Mkikosea kwenye vyombo vya dola, basi mmetengeneza mateso na maangamizi kwa watu wengi, tena wasio na hatia.
Tanzania, kama kuna chombo cha dola ambacho angalao kina uweledi, ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Hata kama linaweza kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.