washirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Hatimaye Marekani na washirika wake wamejaa kwa Zelensky kuhusu drone!

    Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran. Lakini Kiev bado haijakubaliana na mauzo hayo. lakini kwa nini? "Mahitaji ya ndege zisizo na rubani...
  2. L

    Ziara ya Starmer nchini China yaongeza wimbi la washirika wanaoiamini China na kuja kujadili kuimarisha uhusiano wao

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
  3. I

    Washirika wa Putin Waanza Kutoa Milio - Wakiwa na Shida Hana Msaada

    Wakati Rais Vladimir Putin akikazia mapenzi yake kwenye vita vya Urusi nchini Ukraine, washirika wake wa kimkakati kote duniani wamebaki wakiishi kwa hisia ya kupuuzwa — au hata zaidi. Nchini Venezuela, maafisa sasa wanaona kuwa uhusiano wao wa usalama wa miaka mingi na Moscow ulikuwa “paper...
  4. ELI COHEN

    Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  5. sanalii

    Nimetoka mo29 na nimetoka D9, nitapinga maovu ya Samia na washirika wake hata nikiwa peke yangu

    Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni. Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA. 1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo...
  6. L

    Wajibu wa Mamlaka kudhibiti uhalifu wa vikundi vinavyojifanya Washirika wa CCM na kuumiza watu

    Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
  7. N

    Ni sawa tunapata mshiko wa Mama kanisani kwetu, lakini washirika wetu wanasemaje

    Baada ya Harambee ya Dr, Mwigulu Nchemba kanisani kwa WaLutheri Singida Jumapili ya juzi tarehe 29 Juni, 2025, mama akichangia TZS 50,000,000/- kati ya zaidi ya TZS one billion iliyopatikana, waumini wengi waliloloma wakionesha Kanisa la KKKT ni kibaraka wa Serikali hii. Wengi wanajisikia...
  8. Mi mi

    Sasa ni zamu ya Ulaya baada ya Canada, Mexioco na China

    Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump. https://x.com/spectatorindex/status/1886132546020458812?t=lSz05YZkp1XveIK9-MGxVQ&s=19
  9. 6 Pack

    Picha: Hawa ndio viongozi shupavu ambao Joyce Banda, PAKA na washirika wake M23 hawatokuja kuwasahau kamwe

    Niaje waungwana Chini ya miamba hii, nchi yetu ilikuwa salama, imara na tishio zaidi kuliko kipindi chochote kile kilichopita, kilichopo na pengine kinachokuja. Joyce Banda alitest mitambo, kuona kikosi tu na vifaa vichache kwenye taarifa ya habari, huku boss mkuu Kikwete akizungumzia swala la...
  10. L

    Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
  11. Mindyou

    Bila Marekani na washirika wake, Tanzania kisiasa tungekuwa kama North Korea

    Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani. The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
  12. The Loyalty King

    Putin ni cancer Kwa USA na washirika, Brics Yazidi kuchanua Mabawa

    Wakuu Habari Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo nivutia sio Iran Tu kuwa mwanachama wa Brics kumbe kuna mataifa kibao ambayo na yenyewe yapo katika...
  13. yunus75

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo.
  14. L

    China na Afrika ni washirika wanaohitajiana na sio wa kunyonyana kama zilivyofanya nchi za magharibi

    China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika. Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
  15. Lupweko

    Vigogo hawa washirika wa Hezbollah hawajulikani walipo

  16. Kingsmann

    Washirika wa Diddy kutajwa hivi karibuni

    Orodha ya wanaodaiwa kuwa Washirika wa Msanii wa Marekani, Diddy Combs anayetuhumiwa kwa makosa ya unyanyasaji, ulaghai na biashara ya ngono inatazamiwa kutajwa hivi karibuni katika hatua nyingine ya kesi zinazomkabili, Wakili mtetezi wa Waathirika wa matukio hayo Tony Buzbee amethibitisha...
  17. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  18. F

    Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

    Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
  19. Paul Alex

    Secret service wanaweza kuwa washirika kwenye jaribio la mauaji ya Donald Trump

    Mimi Kama mtu mwingine tu mwenye interest na mambo ya usalama nawaza mengi kwenye shambulio la Trump.. Secret service kazi yao ya kwanza wakiwa na 'target' ni kuassess threat... Hapo secret service walifeli. Secret service wakiwa na 'target' kwenye location, kazi yao ni kusecure mazingira...
  20. X

    China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
Back
Top Bottom