wasanii wa bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    Kuna kila namna muziki/wasanii wa Kenya wanatumia mbinu za kushusha wasanii wa bongo ili kukuza mziki wao ulio mbilikimo

    Ni kweli kuwa kwa miaka Mingi Tanzania ndio grant wa muziki kwa Afrika mashariki, muziki wetu na wasanii wetu umekuwa mkubwa na kushika soko la Afrika Mashariki kwa kasi,wasanii wa hapa nyumbani kwa sasa hulipwa pesa nyingi na kupata mialiko kwenye matamasha makubwa nchini Kenya na kuzua maneno...
  2. Genius Man

    Wasanii wa Bongo wameingia vita vikali na Gen z wa East Africa ikiwemo Kenya kutokana na msimamo wao wa kuunga mkono mtu aliyeuwa mashabiki wao

    Mashabiki wa muziki nchini Kenya wameonyesha msimamo mkali dhidi ya nyimbo za msanii wa Tanzania, Mbosso, wakidai msimamo wake wa kisiasa hauendani na hisia zao. Tukio hili lilijitokeza wazi katika tuzo za Nganya jijini Nairobi, ambapo DJ aliyekuwa akicheza muziki alikumbana na upinzani baada...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Mwijaku atoa ushauri kwa wasanii wa Bongo Fleva kwa 'wakati huu'

    atoa ushauri huu kwa wasanii wa muziki wa Bongo fleva namna ambavyo wanaweza kurudi kwenye game ya muziki na kuwashawishi mashabiki ili waendelee kusupport kazi zao. Pia Soma: Wasanii wa Tanzania wanapitia wakati mgumu sana, wameahirisha show za ndani, nyimbo zimedoda mitandaoni
  4. McLaren

    Producer wa ngoma ya Politrix ya Rapcha adaiwa kutekwa na "watu wasiojulikana"

    Wakuu Msanii Rapcha ametoa taarifa za kupotea kwa ndugu yake Isack Katinde, mwenye umri wa miaka 29, ambaye alitoweka jijini Dodoma tarehe 6 Novemba 2025 majira ya saa tano usiku. Kwa mujibu wa Rapcha, Katinde alipokea simu kutoka kwa mtu aliyedai kuwa ni bosi wake na akaondoka kwenda kukutana...
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Wasanii wa Bongo Flavour Wakosolewa kwa Kukaa Kimya Kuhusu Mauaji ya raia wasio na hatia

    Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao kutoa nyimbo za kulaani vitendo vilivyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia...
  6. ndege JOHN

    Nafuta nyimbo zote za wasanii wa bongo na kuunfollow page zao

    Kama NI burudani mlishanipa imetosha kwanza audiomack yenyewe inanilia Tu GB kwenye storage yangu nataka Tu nione kama maisha yangu hayataendelea bila mziki.
  7. Hidden Diamond

    Wasanii wa bongo wengi ni waoga, watu wa kuridhika na wabinafsi pia

    Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM. Masanii haya yakikaa mbele ya media utasikia Sisi ni kioo cha jamii sijui wanamaanisha jamii ipi?jamii...
  8. funaku

    Kumbukumbu:Chadema ndio ilianza kuleta wasanii wa bongo fleva kwenye Siasa

    Tusije kusahau kuwa Nigga J na 2 Proud walikuwa ni wabunge kupitia Chadema.
  9. M

    Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
  10. W

    PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  11. W

    PreGE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

    Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi. Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema? ==== Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
  12. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  13. kyagata

    Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

    Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu. Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
  14. Kipenzi Changu

    Huu ni usanii gani, usanii kutembea nusu utupu?

    Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani? Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
  15. Mindyou

    Gari mpya ya Billnass aina ya Defender yatikisa jiji la Dar Es Salaam mchana kweupe!

    Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.
Back
Top Bottom