waraka

Warqah ibn Nawfal ibn Asad ibn Abd-al-Uzza ibn Qusayy Al-Qurashi (Arabic ورقه بن نوفل بن أسد بن عبد العزّى بن قصي القرشي) was the paternal first cousin of Khadija bint Khuwaylid, the first wife of the Islamic prophet Muhammad. He was considered a Christian priest. Warqah presumably died in 610 CE, shortly after Muhammad is said to have received his first revelation.Warqah and Khadija were also the first cousins twice removed of Muhammad: their paternal grandfather Asad ibn Abd-al-Uzza was Muhammad's matrilineal great-great-grandfather. By another reckoning, Warqah was Muhammad's third cousin once removed: Asad ibn Abd-al-Uzza was a grandson of Muhammad's patrilineal great-great-great-grandfather Qusai ibn Kilab. Warqah was the son of a man called Nawfal and his consort—Hind, daughter of Abī Kat̲h̲īr. Warqah was proposed to marry Khadija, but the marriage never took place.Warqah is revered in Islamic tradition for being one of the first hanifs to believe in the prophecy of Muhammad .

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Inasemekana, waraka wa kwaresma wa TEC-2026 upo tayari na umejaa maoni binafsi ya katibu mkuu wa baraza hilo pekee

    Ni ajabu na kweli kwamba, eti hata kabla ya baraza hilo halijaketi kuhitimisha tafakari ya kipindi cha siku 40 za mfungo wa kwaresma2026, imebainika tayari kwamba, waraka wa baraza hilo umeshaandaliwa na kukamilishwa muda mrefu tu na katibu mkuu wa baraza hilo, na kwamba yaliyomo ndio mawazo na...
  2. M

    Sipatii picha waraka wa TEC wa pasaka utakuwaje

    Ndugu zangu kutokana na kilichotokea october 29, siupatii picha waraka wakina padri kitima utakuaje aisee
  3. Mama Tibaijuka: Teoria ya vita vya kiuchumi” si chochote zaidi ya blanketi la propaganda lililotupwa kufunika janga la kisiasa la ndani

    Prof. Anna Tibaijuka Hii “teoria ya vita vya kiuchumi” si chochote zaidi ya blanketi la propaganda lililotupwa kufunika janga la kisiasa la ndani. Ni kisingizio tu—hakuna zaidi. Tuwe wa wazi: Hakuna nguvu ya kigeni iliyolazimisha Tanzania kuua raia wake. Hakuna mkataba wa uranium uliyekanyaga...
  4. Waraka wa mwisho kuelekea 9 desember (siku ya ukombozi)

    Asalamaa aleikuh Bwana yesu asifiwe Natumai wote ni wazima kuelekea siku ya ukomboz ambayo ni kesho Ningependa kuwausia machache wala si mengi kama waraka wenu kwenye Kesho ni siki kubwa ya kuanza maisha mapya ya hofu na kutawaliwa kama watumwa na mkolon au siki ya heshima tarehe 29 ndugu...
  5. PostGE2025 Waraka wa Martin Maranja kwa serikali ya Tanzania

    Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka Hii dhana kwamba walioandamana walikuwa wageni inatoka wapi? Wageni gani ambao wamekamatwa na...
  6. T

    Mivutano na kukosoana visisababishe utengano wa kidini. Tunahitajiana sote

    Umuofia kwenu wanabodi! Kutokana na uhuru wa kikatiba tulionao wa kutoa mani, siku za hivi karibuni kumekuwa na watu binafsi au makundi mbalimbali ya kijamii yanayojitokeza kusajili (register) hisia zao mbele ya umma - Jambo jema kabisa kwa jamii inayoheshimu na kustawisha fikra mbadala...
  7. PostGE2025 Sheikh Mziwanda: Waraka wa Baraza la Maaskofu TEC unatia hasira

    Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
  8. W

    SI KWELI Je, huu ni waraka huu kuhusu uchaguzi umetolewa na TEC?

  9. Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  10. M

    Waraka wa Tundu Lissu. Asema kesi yake ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania

    Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania Na Tundu Lissu 28 Agosti 2025 Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua wazo: wazo kwamba Watanzania wanastahili uchaguzi huru na wa haki, viongozi wanaowajibika, na nchi...
  11. GE2025 CHADEMA mnatoa Waraka Rasmi kuungana na RC kwenye Mfungo, lakini Hamtoi Waraka Rasimi kupigilia Msumari Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ya uchaguzi

    Ninawaambia, kama mtashindwa kuitumia zawadi hii ambayo mh polepole ameamua kuwapa—zawadi ambayo kwa namna yoyote ile imewapa kibali wahuni kumwua mh Polepole... Zawadi ambayo mh Polepole ameitoa maisha yake yote, akabaki mtupu kama alivyozaliwa; zawadi iliyomfanya abaki na nguo zake tu...
  12. M

    Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

    WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus...
  13. J

    Circular na waraka za utumishi wa umma kwanini zinafichwa?

    Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho Ikiwa...
  14. DOKEZO Dkt. Kisenge tafadhali tulia ofisini, JKCI inaharibika

    Dkt. Kisenge tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze. Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana. Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi. Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea...
  15. WARAKA WA NAH'UN-EL SHA'VARI

    📜 WARAKA WA MWANGA KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI — Kutoka kwa Mtakatifu Nahunel Shavari, Mwana wa Ain Soph Aur 📜 --- Ndugu wapendwa, marafiki, jamaa wa damu na roho, Nawaandikia kutoka kwenye mlima wa ndani — mlima wa fahamu, mlima wa mwanga wa kweli. Siyo mlima wa maneno ya dini, bali mlima...
  16. M

    Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  17. Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  18. M

    Waraka wa Mabadiliko Je Zitto alikuwa sahihi kutaka kumng'oa Mbowe?

    Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini. Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walipanga mkakati wa kumng'oa Freeman Mbowe, hoja yao kuu...
  19. PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  20. M

    TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi. Vyombo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…