wapo

The Washington Post (also known as the Post and, informally, WaPo) is an American daily newspaper published in Washington, D.C. It is the most-widely circulated newspaper within the Washington metropolitan area, and has a large national audience. Daily broadsheet editions are printed for D.C., Maryland, and Virginia.
The newspaper has won 69 Pulitzer Prizes, the second-most of any publication (after The New York Times). Post journalists have also received 18 Nieman Fellowships and 368 White House News Photographers Association awards. The paper is well known for its political reporting and is one of the few remaining American newspapers to operate foreign bureaus.
The Post was founded in 1877. In its early years, it went through several owners and struggled both financially and editorially. Financier Eugene Meyer purchased it out of bankruptcy in 1933 and revived its health and reputation, work continued by his successors Katherine and Phil Graham (Meyer's daughter and son-in-law), who bought out several rival publications. The Post's 1971 printing of the Pentagon Papers helped spur opposition to the Vietnam War. Subsequently, in the best-known episode in the newspaper's history, reporters Bob Woodward and Carl Bernstein led the American press's investigation into what became known as the Watergate scandal, which resulted in the 1974 resignation of President Richard Nixon. The advent of the internet expanded the Post's national and international reach. In October 2013, the Graham family sold the newspaper to Nash Holdings, a holding company established by Jeff Bezos, for $250 million.

View More On Wikipedia.org
  1. Chadema wapo kwenye no reform no election

    https://www.facebook.com/share/r/16o6d5w3Gq/ Chadema wangeshinda ingekuwa sawa ila hawashindagi
  2. Akina Gwajima na Luhaga mpina wapo wengi ila wanapinga kimyakimya

    Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa...
  3. Dira ya taifa moja wapo ni hii

    Kweli kufika 2050 kama tutakuwa nao hawa majoyce wowote tutarajie vituko.
  4. Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028.

    Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028. Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana yake wanafunzi ambao wapo darasa la nne mwaka huu wataingia form one 2028 na ambao wapo darasa la...
  5. Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

    Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
  6. U

    Kwa Takwimu za Jumuiya , Wakatoliki wapo Milioni 24, KKKT mil 12, Madhehebu na dini nyingine sifahamu

    Hii Si Muhimu Sana, Lakini Wakristu wa Madhehebu ya Katoliki na Kkkt kupitia Jumuiya zao , wanazo takwimu za idadi ya waumini wao ,ambazo accuracy ya taarifa zao ni asilimia 94-100. Inaonesha Kwa madhehebu ya Kikristu Kanisa Katoliki ndio linaongoza Kwa idadi ya waumini wengi likiwa na...
  7. Ahmed Ally: Yanga wapo hatua 10 mbele zaidi wana Simba wenzangu tuamkeni watatawala soka letu uwanjani hadi katika maamuzi

    AMEANDIKA AHMED ALLY Nimeona taarifa kutoka kwa @jemedarisaid kuhusu Nyuma Mwiko kumuwekea pingamizi Mgombea Urais wa TFF Wallace Karia, sina mashaka na taarifa zake lakini kamati ya uchaguzi ya TFF itatoa taarifa ya uchaguzi na tutathibitisha zaidi Kitendo cha Nyuma Mwiko kumwekea Wallace...
  8. W

    Mama yake na dada zake wanashirikiana amwache mke wake hadi kwenda kwa waganga kumroga, Hivi wanawake wapo timamu kweli ?

    Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi. elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially. Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
  9. KERO Responded Je, TARURA Morogoro wapo likizo au hakuna bajeti ya ujenzi wa barabara? Wakazi wa Manyuki tunapata shida

    Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
  10. W

    Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  11. D

    Kwanini kuna kocha maalum wa makipa?? Wapo wapi makocha wa mabeki, forwards au midfielders??

    (1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki?? (3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au viuongo wa zamani na sio makipa wa zamani?? Kwanini makipa wa zamani sio makocha wakuu wa timu...
  12. Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  13. Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  14. PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  15. Wapo watakaosalia, na huu ndo ujumbe mioyoni mwao

    Palitokea Rais mmoja mwanamke aliyerithi kiti hiko na akawa mbaya kupita maelezo. Wakosoaji wake aliwaua, akawapoteza na wengine akasimamia wafirwe. Viongozi wa dini akawatesa na wengine wakanusurika kifo. Mshindani wake mkuu alimuweka kwenye njia ya kunyongwa mpaka kufa. Rais yule alikuwa na...
  16. Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  17. Nataka kwenda ujerumani, Canada au Australia katika hizo nchi moja wapo

    Habari wakuu ... Elimu yang diploma ya afya ..... Mpango ni kujiendeleza kielimu au kufanya kazi Uzi tayari
  18. M

    Wale vijana wa UVCCM waliosema wapo wabunge wanaosema afadhali Magufuli kuliko huyu walitaka kumanisha nini?

    Nimeona clip ndogo ya vijana waliokata tamaa wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam wakijaribu kuwajibu watu wanaomkosoa mpendwa wao , lakini wakiwa wanajibu wao wanakiri kuwa wabunge baadhi. Wakiwa sirini huko husema Bora alivyokuwa Magufuli kuliko huyu Ile kauli ili lenga kumanisha nini
  19. W

    Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  20. M

    Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…