wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jengo lipo Wapi hili watembezi? Kuna watu

    hawajawahi pishana NAO....
  2. JamiiForums Tanzania Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

    Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nina hofu kubwa na huyu kuku kaingia ndani kataga kwenye sofa na sijui katokea wapi, sielewi nifanyeje, au ni uchuro?

    Wadau hamjamboni nyote? Wenye elimu zenu mkiongozwa na ndugu mshana na bujibuji nipeni ushauri Niwatakie siku njema
  4. JamiiForums Tanzania Ugumu na uzito wa kupandisha tukio la Tundu Lissu unatoka wapi?

    Nadhani msimamizi na muendesha channel ya CHADEMA MEDIA TV na CHADEMA DIGITAL atakuwa amejisahau kuweka clip ya hotuba ya makamu mwenyekiti chadema,Tundu Lissu akitangaza kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa. Sio yeye tu nadhani hata wasimamizi wa CHADEMA blogs za chama na mabaraza ya chama kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

    Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi. Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

    Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  8. JamiiForums Tanzania Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wapi Kariakoo Wanahifadhi/laza Mizigo uichukue siku nyingine?

    Nimezoea kununua bidhaa, baada ya hapo nakusanya shop flani hivi then nikimaliza nachukua Usafiri napeleka dukani. Sasa kuanzi J3 mpk J5 kuna manunuzi nitafanya, Mzigo utakua mkubwa kdg siwezi kujaza pale ofisini ni kero lakini pia huu unatakiwa uende Mkoani sio hapa Dar, Hivyo nilikua nataka...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa wakulima wa Dar ndio wanalima wapi, mjini hakuna shamba CCM tunafeli wapi?

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika kuleta tija kwenye sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Tanzania. Leo Ijumaa Disemba 06, 2024 wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa. Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  14. JamiiForums Tanzania Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

    Ukweli ndo huu mara tu tukiulizwa swali hili upo wapi? maswali huwa ni mengi sana kichwani. Ukiwa sehemu hatarishi hapo sasa ndo wasiwasi unakuwa mkubwa unajiuliza hivi kaniona au kaambiwa nilipo. Inaweza chukua dk1-2 kujibu swali hili mazee.Mara nyingi huwa ni mtego usikurupuke kujibu kama...
  15. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi ndege wa kufugwa

    Napenda sana kufunga ndege wanaofugwa kama kasuku,mdau anayejua wanauzwa wapi anijulishe
  16. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali. Vituo vya tuition centres vinapatikana wapi kwa Dar es salaam?

    Wakuu salamu zenu. Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini. Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
  17. JamiiForums Tanzania Ukisoma Degree ya Political Science (Sayansi ya siasa) unategemea kuajiriwa wapi bongo?

    Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu? Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Tunaelekea wapi?

    JIBU Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa askari na mwishoni nchi itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hasa kwa itikadi za kisiasa...
  19. JamiiForums Tanzania Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

    Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
  20. JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    HABARI YA PASAKA JF,Je Ulishawahi Kujiuliza Unaenda Wapi Ukisha kufa? Fuatana na Mimi Asubuhi Upate Elimu. MTU AKIFA ANAENDA WAPI? Mwili hushushwa ardhini baada ya pumzi kurudi kwa muumba,yaani baada ya nafsi kufa! Kifo kinauma sana,na ukizingatia wengi hatujui nini kinafuatia baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…