waoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi

    Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi. Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
  2. Kumbe CCM waoga kuliko Museveni?

    Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana. Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa. Mambo ya kuhesabu kura...
  3. R

    Msiogope, waovu ni waoga mno, Idd Amini alipokuwa anapanda ngege kukimbilia ughaibuni, alitoa kitisho Cha hatari.

    Salaam! Waovu na wauwaji wote duniani ni waoga, narudia Tena ni waoga wasiojiamini. Iweje changanoto ambayo inatatulika kwa kutumia akili, WEWE tutumie bunduki kwa asiye na bunduki? Pamoja na vitisho vyote na kujipa vyeo vikubwa, kwanini huwa hawaji wao front, hutuma na kutanguliza wengine...
  4. CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  5. Q

    Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  6. Polo magonda watch out kuna wakubwa wanataka kukusamilia kabla ya esther

    Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
  7. Samson Charles: Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga?

    Anaandika Mwandishi nguli wa habari kutokea EATV bwana Samson Charles "Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga? NA SAMSON CHARLES UZOEFU WA TASNIA YA HABARI MIAKA 15. Jibu ni rahisi sana. - Je, wewe ulipoambiwa mwisho wa kuonekana nje ni Jumatano saa 12 kamili jioni ulionekana? -...
  8. N

    Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

    Habari wanajamvi.... Tusikilize hotuba hizi mbili toka kwa viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia
  9. Vyombo vya dola vinasikitika kupoteza muda na nguvu kujiandaa kudhibiti Tanzania ya watu waoga huku wanasiasa wakigonga glass kwa ushindi huu mkubwa

    Ova and out
  10. M

    Nimeumia kuona baadhi ya wanawake wakipotoshana, wanaume waoga, ukweli ni kwamba utiifu wetu ndio umefanya tusifike Afrika kwa amani

    https://www.tiktok.com/@mamab_oficial/video/7558468367993130296 Hebu someni hizi comments jinsi wanavyopotoshana,
  11. Wanaohamasisha kuandamana wapo nje ni kuhamasishwa na waoga

    BAADA YA KUKIMBIA NCHI NDIO WANAWADANGANYA WAJINGA WAWE TAYARI KUFA Roma mkatoliki alishikiliwa siku moja tu akakimbia nchi leo anawaambia msiogope kufa kuandamana kwenda maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi Ukiwaambia njooni na nyie tukazuie uchaguzi pamoja wanakwambia wanaogopa ila...
  12. Swali: Kabla ya kuwalalamikia watanzania kuwa waoga wa kudai haki zao; Je, ni kweli wanajua wanahitaji hizo haki?

    Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
  13. Wasanii wa bongo wengi ni waoga, watu wa kuridhika na wabinafsi pia

    Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM. Masanii haya yakikaa mbele ya media utasikia Sisi ni kioo cha jamii sijui wanamaanisha jamii ipi?jamii...
  14. GE2025 Mitaani watu waoga balaa! Ukizungumzia tu mambo yanaoendelea ya siasa, wanakukataa

    Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya...
  15. Aisee kweli watanzania ni waoga gwajima kapigwa mkwara siku Moja tu kaingia mitini waumini wake wanateseka

    Nimeamini
  16. JamiiForums imekuwa sehemu ya kukwamisha mabadiliko halisi kwa kuwa kichaka cha waoga?

    Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake. Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na...
  17. Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

    Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !. Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni . hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani". Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
  18. CCM ni chama cha waoga wanaojifanya hawagopi

    Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia. Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu. Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na...
  19. WaTanzania ni watu waoga na waporojo sana

    …naona wote mpo busy na msiba wa Papa, lakini hamjui kinachoendelea Tunisia 🇹🇳… Tunisia 🇹🇳 kuna Rais mwendawazimu anayeitwa Kaïs Saïd, Dikteta zaidi ya Kambare… Huyu jamaa anamiliki serikali, Bunge na Mahakama zote nchini humo… Juzi, kawahukumu viongozi wa upinzani, mawakili wao...
  20. Hapa Duniani kuna wananchi waoga kama Raia wa Tanzania na Uganda?

    Great Thinkers. Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele. Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…