Ushuhuda wa uongo ni miongoni.mwa madhambi makubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu.
Miongoni mwa Amri 10 za Mungu ni kuwa usimshuhudie mtu uongo.
Sasa ole wao wanaopanga kuwashuhudia wenzao uongo, mbele ya mahakimu, hao ni watu wanaovunja amri za Mwenyezi Mungu waziwazi kwa ajili ya maslahi...