wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa International schools wao huwa hawatolewi Darasani kwenda kushangilia watawala

    Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia...
  2. JamiiForums Tanzania Wakenya wanajitangaza wao ndio wenye Lugha ya kiswahili ila kuongea kwa ni shida ila ndio wanatambulika kuwa ndio lugha inatoka kwao

    Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya. ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania. watu...
  3. JamiiForums Tanzania Waisrael wanataka Wajukuu kutoka kwa Mbegu za kiume za watoto wao waliofariki

    Dunia inaendelea kukua kwa kasi. Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua. Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana kutoka ndani ya masaa 24 hadi 72 toka mtu alipofariki. Lakini serikali inataka kujiridhisha kwanza...
  4. JamiiForums Tanzania Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

    Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii? Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu? Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari yangu? Ni mapungufu yangu au ni ubabe wao? Ni dhambi zangu au ni laana yangu? Je hii safari yangu hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Kama mawakili wanaweza kufanyiwa michezo michafu kwenye uchaguzi wao, wananchi wa kawaida tutaweza kuwazuia hawa 'wahuni' kweli?

    Wakuu, Tumeendelea kuweka taarifa kama tunavyozipokea, kama mlivyoona zoezi la kupiga kura limesimama kwa muda mpaka wakati huu naweka uzi huu hapa kutokana na karatasi za kupigia kura kupelea, ambako imebidi zikachapishwe nyingine ili zoezi liendelee. Sasa wakati hili linafanyika ukurasa wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa. Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

    BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mashabiki tumetimiza wajibu wetu kununua tiketi zote, tafadhalini sana naomba msituangushe, Yanga wao hadi supu za bure ndio wanajaa

    Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk. Hata hivyo mambo yote hayo...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamas kukutana kuchagua mrithi wa Kiongozi wao Mkuu aliyeuawa, wanaotajwa Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania CWT wamejipanga kurudisha imani kwa wanachama wao waliokimbilia CHAHUWATA

    Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa. Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa wanachama wao kwamba mambo yatakuwa mazuri muda siomrefu. Kwa ufupi maswali wanayoulizwa wanashindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  12. JamiiForums Tanzania SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana Bingwa na Makamu wao wala hawana Mbwembwe, ila wa Nyuma yao ndiyo wana Mbwembwe zinazotia Shaka mbeleni

    Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waonyeshe kuwa umejua unafiki wao ila hujadhurika chochote

    WAZUSHI WAKIKOSA UBAYA WAKO BASI WATAZUSHA, NI FURAHA YAO KUONGELEA MABAYA TU YA WATU 😔 Kama wewe ni yule ambaye unataka kujibu kila mtu basi jua utajichelewesha . Kama wewe ni yule ambaye ukisikia ulivyosema kipindi haupo basi unakorofishana na uliowaacha basi jua unajichelewesha. Kama wewe...
  15. JamiiForums Tanzania Aina za wanawake ndoani

    Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke brilliant yaani mke baby sweet! Ni wachache hawa! Sijui upo wapi hapo!
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba na Yanga hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani kwa wanachama wao kuondoa harufu na mizozo ya ulaji na upigaji?

    Hizi timu mbili zinazoitwa za wanachama kwa nini uongozi wao hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani? Ukirejea haya malalamiko ya huyu anayeitwa mzee wa Yanga, Magoma na Hamis Kigwangala wa Simba inaonyesha kuna ujanja mkubwa sana katika hizi timu. Hii yote ingeweza kuwekwa sawa kama masuala...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa nao wamezidi sasa nikisikia wamekuwa Maiti kwa Kuwachosha Polisi naweza kuwaelewa na hata kuwaunga mkono Polisi wao

    Maafisa wa Polisi nchini Kenya wameingia katika mitaa mbalimbali ili kukabiliana na mamia ya waandamanaji katikati mwa jiji la Nairobi. Waandamanaji hao wamedai lengo la maandamano hayo ni kutaka mageuzi yafanyike katika mfumo wa usimamizi wa rasilimali za umma, na haki kwa wenzao waliouawa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

    Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

    Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee. Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni...
  20. JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…