wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande ule wengi wao elimu yao ni tiamaji tiamaji

    Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
  2. JamiiForums Tanzania USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD. Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi Mchina ana safari ndefu Sana. Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
  3. JamiiForums Tanzania Fikra duni za mbeba maboksi kuhusu mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao.

    Mbeba maboksi here I come with my two cents from a distance. Nianze kwa kuwatakia heri ya Krismasi kwenu waumini wa Kristo. Kwa wasio waumini, nanyi nawatakieni sikukuu njema na mapumziko mema. Nimekuwa nikiifuatilia hii mijadala ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kwa juu juu tu. Sikuwa kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

    Wakuu habari zenu. Nimefuatilia majukwaa ya kijamii kadhaa wa kadhaa na kuona kua,wengi wanaompigia chapuo Mbowe na kumpamba ni wale ambao tulikua tukisuguana wakati tunaipinga CCM. Kwa wale wataalamu wa mambo ya siasa za Tanzania, naomba wanisaidie kujua kwa nini Mbowe amependwa ghafla hivi na...
  6. JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Watumishi Serikalini kuwafataa wenza wao

    Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya. Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  8. JamiiForums Tanzania Wapalestina waanza kuchapana wao kwa wao

    Kwa Sasa yamezuka mapigano ndani ya West Bank kati ya Jeshi la Mamlaka ya Palestina na wapiganaji wa Jenin Fighters. Mapigano hayo ya azidi kushika kasi Sana. Nilishasema Tangu Hamas na Fatah wapigane kule Gaza na Hamas kushinda na kulichukua eneo la Gaza , hata Palestina walipewa uhuru wao...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimepita mitaa ya Lumumba, wamerelax baada ya mahasimu wao kuanza kutukanana wao kwa wao, mpango ni watukanane mpaka 2027

    Nimepita mitaa ya Lumumba, watu wanakuna vitambi tu huku wakipapasa vioo vyao vya simu kusoma jinsi watu wa Chadema wanavyovurumishiana matusi, kutupiana makopo, chupa na uchafu. Sasa inaangaliwa namna ya kuwafanya watukanane mpaka walau 2027
  10. JamiiForums Tanzania Wakenya wameanzisha meme za Kasongo kumpasha rais wao, je Watanzania wana nini cha kumnanga rahis wao?

    Naomba upendekeze memes unazodhani zinafaa kupeleka salamu kwa rahis wetu kistaarabu ili ajue nasi tuna akili mbali na mawazo yetu ambayo yanaweza kumsaidia kurekebisha au kuboresha mambo. Namshukuru rais kwa fursa hii :D :D :D :D :D :D. Je wewe unasemaje mwanangu?
  11. JamiiForums Tanzania JKCI yatoa ufafanuzi madai ya baadhi ya Watumishi wao kutoa huduma kwa kujuana

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo. Kusoma zaidi alichoeleza Mdau bofya hapa ~ Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania MC Alger wamemtupia virago kocha wao Patrice

    Haya sasa kumekucha huko naona wapizani wa Yanga nao wamefukuza kocha. Sasa je itakuwa faida kwa timu ya Wananchi kulamba alama 3 kwa Mkapa? ================= Klabuni ya Mouloudia Club d’Alger almaarufu MC Alger ambao ni wapinzani wa Yanga Sc kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

    Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa). Unaweza kuonyeshwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

    Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi. Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani inahaha kutaka Syria isitawalike.Nawashauri wanasyria waachane na mfumo wa vyama vingi.Wajitungie mfumo wao kuepusha kurudia kwenye machafuko

    Huku jeshi la Israel likiendelea kujichukulia maeneo ya Syria bila kukemewa na mshirika wake,Marekani.Antnthony Blinken tangu waasi wamuangushe Bashar Alassad amekuwa halali,anazunguka kama pia akitua kila nchi kushauri utawala mpya wa Syria uwe wa kuunganisha makabila na vyama vyote. Ushauri...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi waaswa kuzingatia kuwapeleka watoto wao shule zenye malezi bora

    Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
  17. JamiiForums Tanzania Wasanii ambao waliwai kuwaimbia nyimbo wapenzi wao waliowapenda kwa dhati

    Kama Kuna wengine unaowajua Ruksa kuongeza. Juma Nature aka Kiroboto - Sinta mpaka Nyimbo kamuimbia. Mb- Dog --- Nancy Sumari Mpaka Nyimbo kamuimbia Jagwa Kuna msanii wa mnanda alimuimbia -Asha Juma Jux- Vanessa Ongezeni wasanii wengine ambao waliwai kuwaimbia nyimbo wapenzi wao/ Mtu ambae...
  18. JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  20. JamiiForums Tanzania NEMC: Hatujakataa kusindikiza Taka hatarishi kutoka Malawi kwenda Uganda, Bali Wakala ndiye kachelewa kulipia. Madereva wawasiliane na Wakala wao

    Salaam Wakuu, Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao. "Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…