wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unapenda kudate wanawake wenye kazi gani/carrer

    Salaam Leo nimehamasika kidogo na mambo ya kukwichi kwichi 😅😅😅 Katika kumi na nane za kula apple 🍎 kuna majority ya wanaume wana sex fantasy ya kusex na workers ambao ni she, (hii ni worldwide). Binafsi yangu nawapenda polisi yaani askari wakike huwa wananitoa udenda vibaya mno, kuna wanao...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wanawake Vijana

    Mwandishi - Diane Walls. Wanawake vijana, hii ni kwa ajili yenu. Mwanamke mmoja alifika dukani akiwa amevalia nguo zinazoonyesha mwili wake vizuri sana. Mwenye duka, akiwa mzee mwenye hekima, alimtazama vizuri, akamwomba aketi, akamtazama moja kwa moja machoni, na kusema jambo ambalo...
  4. JamiiForums Tanzania Ijue MTAKUWWA Awamu ya 2

    Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029. Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chupi za kike sio kwaajiri ya kujistiri tu bali pia husaidia kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume

    Vifuniko vya asali (chupi) kwa wanawake sio kwaajiri ya kujistiri tu sehemu zenu za siri bali pia zina mchango mkubwa sana katika kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume. Kwa kulitambua hilo ndio maana watengenezaji wa nguo za ndani za kike wamekua na aina mbalimbali za chupi kama bikini...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  9. JamiiForums Tanzania Aibu nyingine mbona zinaepukika? Wanawake badilikeni. Huyu mwenzenu kanichekesha sana

    Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Oliver Semuguruka: Wanawake Chukueni Fomu Mgombee Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA: WANAWAKE CHUKUENI FOMU MGOMBEE SERIKALI ZA MITAA Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera (CCM), Mhe. Oliver Semuguruka amewataka wanawake wilayani Ngara kujitokeza kuchukua fomu za...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
  13. JamiiForums Tanzania Aina za wanawake ndoani

    Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke brilliant yaani mke baby sweet! Ni wachache hawa! Sijui upo wapi hapo!
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini dini zinazataka wanawake kuvaa vitambaa kufunika vichwa vyao?

    Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti. Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wadau tujadili na kujifunza, ni kweli wanawake wa Kingoni wana hulka ya umalaya hata kama ni msomi?

    Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age. Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
  16. JamiiForums Tanzania Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi..... Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia. Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu. Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali. Huo ndio ujumbe wenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya kitaifa Usawa wa Kiuchumi yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwezesha Wanawake Kupata Haki zao

    KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote. Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake hawajioni kama ni masikini

    Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini, ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…