wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini wanawake wa kichaga kila mtu ni kaka yake japo nyuma ya pazia hawana kaka wala baba. mdogo bali wote halali?

    Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
  2. Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  3. R

    Vita inayopiganwa ndani ya matumbo ya wanawake Walio ndani ya Ndoa, (Eve vs Mary)

    Salaam, Shalom! Ukitamka tu NDOA Takatifu, umekaribisha vita ,tena Si vita ndogo ni vita kuu, vita ya kuwania funguo za vizazi. Naweka seat, Nitatejea kusimulia sawasawa na nilivyosikia rohoni.
  4. Kwahili wanawake kwa asilimia kubwa wanafanana

    Poleni wana jukwaa na mihangaiko ya kutafuta chochote kitu maisha yasonge.. Sina mengi sana ila nina swali kwa wanawake leo hii, hivi ni kitu gani huwasababisha mchelewe location???? Mnaweza kuahidiana mkutane saa 10, ila cha ajabu anaweza kuja saa 12. Ukimuuliza kwanini kachelewa kuja, hana...
  5. Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

    Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4 Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi Unazani...
  6. W

    Ni kweli wanawake waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 ni wazuri zaidi ya miaka ya nyuma??

    Nimekutana na mtu akatoa hii hoja binafsi niliipinga lakini alitumia nguvu kubwa na mifano ya watu wetu wa karibu kushinikiza hoja yake, je ana hoja au apuuzwe??
  7. R

    Wanawake wanasema Kimewashuka: Threads za Lissu aanzishe chama, wamefarakana, Lema sijui na Kigaila kawaje zimeisha jana baada ya Hotuba ya Mbowe

    Mbowe: 1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani 2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa 3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele 4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti 5. Mahakama zinatuangusha 5. Ongeza Erythrocyte Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya...
  8. Wanawake kunjueni mioyo tu waume zenu tuwe na wake wengi

    Vilio ni vingi sana majumbani wengi wa wanawake shoo hamziwezi shuhuda tunazipata kwenye vijiwe vyetu vya kahawa Visingizio ni vingi mara mseme mmechoka mara sijui tunapiga shoo kila siku kama tumeoa midori ya ngono n.k Ukiachana na sex kama kazi ya kuingiza pesa wanawake shoo mnafanya...
  9. L

    Wanawake walio faily maisga

    Abarini Wanawake eengi hasa apa kibonfo bongo kuanzia 25 nakuendelea,wameferi au WAMECHEZEA maisha Theyre desperate na mahusiao na nsoa,theyte desperwte nawnaume kwaujumla Wengi uringa sana ktk peak yaami umti wwmiaka 22 luja chini,ila wakifikisha 25na kuendelea,autpmatically soko lao...
  10. Q

    Kwanini species nyingi za wanawake ni wafupi?

    Kwema wakuu Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi? Misinishambulie please
  11. M

    KERO Choo cha Wanawake Kivukoni Magogoni usalama ni mdogo wakati wa usiku pia hakuna privacy

    Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku. Kero ya kwanza, wakati wa mchana abiria wanapokuwa hapo wakisubiri usafiri, watu wanakaa hadi karibu na mlango wa kuingia...
  12. Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

    Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza. Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
  13. Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

    Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
  14. Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara

    Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara
  15. Serikali iunde Sera nzuri za kuwalinda Wanawake dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi

    Wanawake mara nyingi wanashikilia nafasi muhimu katika familia na jamii, hasa katika nchi zinazoendelea, ambako wanahusika na majukumu ya kutafuta chakula, maji, na nishati (kuni) Majukumu haya yanawafanya kuwa miongoni mwa walio hatarini zaidi kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi kama...
  16. Mtazamo wangu juu ya kauli ya kuishi na wanawake kwa kutumia akili.

    Tulipo ambiwa tuishi nao kwa akili haikuwa na maana kwamba wana akili nyingi kutuzidi, maana yake ni kwamba wao wana kitu kinaitwa Emotionalism, wanatumia na kuongozwa na hisia, ni wazito kutafakari kabla ya kufanya maamuzi. Endapo na sisi tukiendekeza hisia na mihemko ( Emotionalism) basi...
  17. LGE2024 Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani

    Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa...
  18. Sasa leo ndiyo imekoleza imani yangu kwa wanawake wengi wapo kwenye ndoa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi sio wote ila wengi wao

    Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani 👇👇👇👇
  19. Kaka hawa ndio wanawake na uhitaji wao kurinagana na umri wao walionao

    MIAKA 18-25 Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani waajiriwe waanze kupokea mshahara na wengine wanawaza KUENDELEA kusoma masomo ya juu kama digree...
  20. Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

    Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress. Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…