wanataaluma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania MADA MOTO : Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

    14 August 2026 University of Dar es Salaam UDSM Tanzania Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Siasa imeua ujasiri, wanataaluma wameuchimbia kaburi, tunasubiri wa kuuzika na kufukia

    Miaka ya hivi karibuni wanasiasa wamekuwa na nguvu kubwa pengine kuliko kundi lolote kwenye jamii Hii ni kwasababu, hata vyombo vya dola karibu vyote dalili nyingi zinaonyesha vinahofu na wanasiasa, vinaongozwa kwa kufuata mwanasiasa anataka wafanye nini Polisi, mahakama, na vyombo vingine...
  3. JamiiForums Tanzania Ugaidi dhidi ya wanataaluma na uhuru wa kufikiri; Kicheko cha Jamii kuwadharau wasomi

    Wanataaluma wamepitia katika kumbo la wakati ambao historia imewaachia jeraha kubwa la fedheha juu ya kile kinachoitwa uhuru wa kufikiri. Uhuru pekee wa wanataaluma na nafasi muhimu ya maisha ya Mwanazuoni ni uhuru wa kufikiri. Uwezo na tabia za Wanazuoni kuyaangalia masuala mbalimbali katika...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  6. JamiiForums Tanzania Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

    Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu . Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ? Tujiandae kisaikolojia
  7. JamiiForums Tanzania Wanasiasa na wanataaluma msipotoshe jamii kwa maksudi

    ................, (Salamu kwa kilugha chenu) Ndugu zangu wa Tz, naomba niweke wazi msimamo wangu, mm naunga mkono uwekezaji katika bandari na nyanja nyingine zote katika nchi hii ENDAPO kutakuwa na masharti yanayoinufaisha Tz pia (win - win situation) Katika suala la Bandari baada ya mkataba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TCU chukueni hatua dhidi ya chuo cha SAUT-Mtwara

    Habari, Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wanataaluma (UDASA) wamelala fo fo fo!

    Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa hawawazi huko.
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TCU wasaidieni wanataaluma wa SUZA

    Ni kuhusu kadhia ya kutokupandihswa madaraja kwa wanataaluma. Suala la academic promotions kwa chuo kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) ni la kusikitisha na kufedhehesha. Mchakato unachukua muda sana kiasi ambacho mwanataaluma anaweza kuomba promotion ikachukua mwaka na zaidi bila ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya mtuangalie upya wanataaluma wa Maabara za Binadamu

    Habari wana Jf. Nimeona nilete mbele ya jukwaa hili jambo ambalo kimsingi linatesa sana kada hii ya afya yaan Medical lab personels. 1. Kuwepo kwa Provisional license ya maabara. Yaani ikiwa mtu amehitimu na amequalify kabisa kwanini unampa leseni ya matazamio? Unamtazama huyu mtaalamu akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…