wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania munaopenda haki acheni kuwaamini kirahisi wanasiasa wakongwe,na waliotisheka kuiba wanapodai wako upande wenu

    Habari Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo.... Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi. Ata...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachache sana Wana Conviction,wengi siasa ni kutaka vyeo na kuganga njaa!

    Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu! Ukisikia wanasiasa wanaongea vitu kinyume,lakini vinavyobeba Maslahi yao! Ili waonekane Machawa wapate teuzi. Wanayosema...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa watendeeni wengine mema ili kulinda kesho bora ya vizazi vyenu

    Wanasiasa kumbukeni madaraka hukoma, sasa kama mtawatendea wengine mabaya kipindi cha uongozi wenu, huenda moja kwa moja msione madhara kwa sasa. Ila kesho hao ambao mnawatendea mabaya wakishika hatamu ya uongozi vizazi vyenu havitakuwa salama. Sishangai kuona baadhi ya viongozi hasa Africa...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ali Nuno Aonya Wanasiasa Wanaofadhili Goons: Serikali Itaondoa Ulinzi Wao

    Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu. Akizungumza na wanahabari, Nuno...
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya miujiza feki ya manabii na mitume ni wajibu wa wanasiasa

    Katika jamii nyingi, miujiza feki inayodaiwa na manabii na mitume imekuwa ikichukua nafasi ya ahadi ambazo zilipaswa kutimizwa na wanasiasa. Kwa kawaida, mwanasiasa ndiye anayewajibika kuhakikisha wananchi wanapata maisha bora kupitia huduma za afya, elimu, ajira, na miundombinu. Lakini pale...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Taasisi ya Kanisa la Upendo Masihi (KIUMA) inayumbishwa na wanasiasa mamlaka za Serikali zipo wapi ?

    Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya KIUMA katika Idara ya Elimu. Kwa sasa, taasisi imekumbwa na mgogoro wa kiuongozi unaodaiwa kuhusisha wanasiasa na mfadhili wa KIUMA. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vijana wamefutiwa mikataba yao ya ajira, huku wengine wakinyimwa kuongezewa mikataba...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa na kufichwa na watawala; Wanaharakati ni bora kuliko wanasiasa.

    Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne ya 20 na 21 hakuna mabadiliko makubwa ya kubadilisha au mageuzi ya utawala yaliyowezekana bila...
  9. JamiiForums Tanzania Ni fursa ya Wanasiasa kumuona "Home Boy" bila link

    Tazama.
  10. JamiiForums Tanzania Jakamageta: Elimu yetu Tanzania imeharibiwa na Wanasiasa. Hospital wamejaa Incompetent Doctors

    Mwanachama wa JamiiForums, Jakamageta amesema Elimu yetu inaharibiwa na siasa, siku hizi tutashindwa kupata Madaktari wanaofanya right diagnosis and treatment. "Hospital wamejaa Incompetent Doctors and other medical practitioners kwa sababu ya mfumo wa elimu yetu ni mbovu." Wenye pesa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Nilichokigundua Wanasiasa wanawaogopa sana wanaharakati inaonyesha wanaharakati wanakubalika sana kwa wananchi kuliko wanasiasa

    Mwigulu ni waziri mkuu anazunguka kuwananga wanaharakati baada ya kueleza serikali yake imefanya nini ? Imepunguza kero za wananchi maskini kwa kiasi gani? . Yeye yuko busy na wanaharakati cha ajabu wanaharakati hawana time na Mwigulu...
  13. JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  14. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachanga mnapaswa kulijua hili mapema

    Hamjambo wote¡ Katika moja ya andiko moja lililopatikana katika falsafa za kitibeli lililosema: "Mfalme huamini kuwa anaitawala dunia. Lakini mara nyingi dunia hutawaliwa na watu ambao mfalme hawajui hata majina yao." Historia imejaa mifano ya watu waliovaa taji huku wakidhani wao ndio wenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  16. JamiiForums Tanzania Je, unazijua mbinu wanazotumia wanasiasa kuteka hisia za Raia wakati wote...?? Utashangaa Leo..🤔

    Katika makala yangu nimeanisha njia 22 ambazo viongozi wengi huzitumia kurubuni na kuongoza hisia za Raia... Leo nitakutajia zote, jina langu ni Robert kisunte.... Huwenda njia hizi zimetumika sana katika nchi yako na kwa viongozi wakoo..... Leo nitakupa njia mbili ila kutokana na muda...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wanasiasa na walamba asali au wafuata mikumbo hawataki kabisa kuusikia

    Wanasiasa waambiwe kuwa bila uwepo wao hakuna kitakachokwama, hakuna kitakachoharibika. Huu ukweli hawautaki kabisa wanasiasa Kuna mwanasiasa mmoja sasa hivi marehemu, jamaa aliaminishwa kuwa akimaliza kutawala awamu zake mbili nchi italala , nchi itasimama. Walamba asali na wafuata mikumbo...
  18. JamiiForums Tanzania Kenya Inatuingiza Utumwani Afrika Mashariki? Ni Climate Lab Ya Israel , Na Vita Vya Kisasa Ambavyo Wanasiasa Hawavijui

    KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala askari kuvuka mipaka. Vita vya leo vinaanza kwa “ushirikiano wa kisayansi,” “miradi ya maendeleo,”...
  19. JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  20. JamiiForums Tanzania Wanasiasa tuache unguchiro

    "Hebu tafakari: Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…