wanasayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    Wanasayansi Wafichua Dalili za Mwisho wa Dunia!

    Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana. Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa...
  2. Parabolic

    Wanasayansi wa Tanzania wafanikisha kuzalisha mbu wanaozuia maambukizi ya malaria

    Mbu aina ya Anopheles Bagamoyo. Katika utafiti wa kihistoria uliyochapishwa katika jarida la Nature, wanasayansi wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kwa ushirikiano na Imperial College London kupitia mpango wa Transmission Zero, wamefanikiwa...
  3. Mafyangula

    Wanasayansi watoa wito wa kuhamishwa kwa mradi wa hoteli ya Pemba

    Wanasayansi wa mazingira wa kimataifa wameitaka Mamlaka ya Uwekezaji ya Zanzibar (ZIPA) kuhamisha ujenzi wa hoteli ya kifahari ya nyota tano kutoka Hifadhi ya Msitu wa Ngezi, Pemba, wakionya kwamba mradi huo unahatarisha mimea na wanyama adimu waliopo eneo hilo. Katika barua ya wazi...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Wanasayansi Wasema Kimondo Kilichogonga Nyumba Kina Umri Mkubwa Kuliko Dunia

    Kimondo kilichogonga nyumba nchini Marekani kina umri mkubwa kuliko sayari ya Dunia, wanasayansi wamesema. Kitu hicho kilisafiri angani katikati ya mchana kabla ya kulipuka katika anga la jimbo la Georgia tarehe 26 Juni, shirika la NASA limethibitisha. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Georgia...
  5. nodetz

    Je nikweli wanasayansi na wanahistoria wameshindwa kutambua ni teknolojia gani ilitumika kujenga pyramid (great pyramid of giza)

    Habari wana JF. Tumesikia theory nyingi kuhusu namna gani pyramid zilijengwa hasa naongerea zile wanaita great pyramid of giza Hizi Kuna wakati huwa naamini ata hicho kizazi kinachosemekana kimejenga hizo pyramid na wao pia walizikuta. Nashawishika kusema ivo maana hakuna maandishi yoyote...
  6. Ibn Unuq

    Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

    Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki washamba ndiyo kivutio cha dunia. Mungu mmoja alitoka Asia, akapita Ulaya, akaruka Mediteranea, akaruka...
  7. Setfree

    Una habari? Wanasayansi "wameiona" Safina ya Nuhu wa Biblia

    Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya kisayansi yameanza kugeuza mtazamo wa ulimwengu kuhusu Safina ya Nuhu. Katika milima mirefu mashariki...
  8. Komeo Lachuma

    Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  9. M

    Wanasayansi wa Israel wasema kwa kitendo cha Iran kupiga kituo chao kikuu cha utafiti, Imeirudisha nyuma Israel miaka kadhaa nyuma kiutafiti

    Baada ya Ballistic missiles za Iran kupiga kituo kikuu cha utafiti cha Weismann na kukisambaratisha. Wanasayansi wa Israel wamesema kuwa sample nyingi sana za utafiti zimeharibiwa, wameweza kunusuru chache ila nyingi sana hawawezi kuzirudisha. Akasema kuwa watahitaji miaka kadhaa ili kuweza...
  10. U

    IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
  11. Sir John Deere

    Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

    Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika. Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo. Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi...
  12. U

    Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:55 am The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
  13. Munamuge

    Kliniki za Matibabu ya kibingwa wilayani kutokujumisha Wafamasia Bingwa na Wateknolojia Bingwa wa Maabara za Afya kwenye jopo, Haijakaa sawa

    Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu. Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote. Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
  14. MNEKI

    Wanasayansi wetu vs Wasanii

  15. S

    Wanasayansi walikwama kuitambua hii nguvu ni ya nani waakamua kuibatiza nguvu ya mvutano (gravitational) lakini si kweli

    Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho. Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali mengi kuhusu nguvu ya mvutano (gravitational) Utafti wangu unaniambia popote ukiona msomi kaweka...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

    Kwa ma senior wa science wa hapa Jf. Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!! Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu. Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake. Sungura kwa...
  17. Setfree

    Wanasayansi Wagundua Mfumo Mpya wa Kinga ya Mwili

    Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria. Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
  18. Rorscharch

    Wanasayansi wa Oxford Wafanikisha Teleportation kwa Kompyuta ya Quantum (Maxwell na gari lake la mwimbi ya redio ilibidi awasilishwe hivi👇👇👇)

    Utangulizi Katika ulimwengu wa leo, ambapo maendeleo ya kiteknolojia yanapiga hatua kwa kasi isiyowahi kushuhudiwa, ni wazi kuwa sayansi inaendelea kusukuma mipaka ya yale tuliyoyazoea. Swali la msingi ni: Je, tunaelekea wapi katika mustakabali wa teknolojia ya kompyuta? Katika jaribio la hivi...
  19. cold water

    Wanasayansi huu msemo umekaaje?

    Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana...
  20. Brojust

    Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

    Wadau habari ya Jioni, kwani ugali una shida gani, mimi nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu. Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu. Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku...
Back
Top Bottom