wanaolalamika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DELETED ACCOUNT

    Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

    Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
  2. R

    Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  3. Mindyou

    Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  4. Logikos

    Wakenya wanaolalamika kulipwa 2USD kwa Saa kuifundisha AI wapo Sawa kutupia lawama Kampuni Husika, au wawalaumu Watunga Sera wao kuwafanya desperate ?

    Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
  5. The25824

    Tiba kwa wanaolalamika sanaaaa

    Kwenye haya maisha , ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala. Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha mwingine. Ili kuacha tabia hii , Njia nzuri ni kujitahidi kuuchunguza moyo wako juu ya...
  6. mahindi hayaoti mjini

    Wanaolalamika us dollar kupanda bei sana wachungulie hapo kwa jirani

    Jirani tu hapo leo imepiga 150 ksh kwa dollar moja, na kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi.
  7. Ferruccio Lamborghini

    Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Habari ya wikiendi wana JF wenzangu. Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni. Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data. Ile kupiga...
  8. Tee Bag

    Wanaolalamikia Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya tuongee hapa kidogo

    Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa..... Na Thadei Ole Mushi 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
Back
Top Bottom