wanandoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
  2. Kenya: Visa 700,000 vya utoaji mimba vinaripotiwa kwa Mwaka, kati ya hivyo 80% vinawahusu Wanandoa

    Ripoti ya Wizara ya Afya kwa ushirikiano wa African Population and Health Research Centre (APHRC) na Taasisi ya Guttmacher imeeleza kuwa kati ya Aprili 2023 na Mei 2024, zaidi ya visa 792,000 vya utoaji mimba vimeripotiwa Nchini Kenya. Ripoti imeeleza namba hiyo ni sawa na wastani wa visa 57.3...
  3. Waziri Ndumbaro: Kipindi cha Julai, 2024 hadi Aprili, 2025 RITA imesajili na kutoa Talaka 675, atoa wito kutolewa elimu ya maadili kwa wanandoa

    Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa. Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka. Akiwasilisha makadirio...
  4. Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI? Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
  5. Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  6. Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  7. O

    Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa humu sio wanandoa, sababu ya upendeleo

    Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa. Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi kama mume wa mtu. Neno kuolewa ni kuwa chini ya mamlaka ya aliyekuoa, yaani unakuwa mke halali wa...
  8. Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    Jamani nina huzuni mwenzenu acheni tu na mvua hizi. Kama nilishawahi kukukosea humu kwanza nisamehe kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo. Unajitahidi wanao basi wasipate shida. Unajitesa kuweka mambo sawa ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada wa kazi ampe vitu na huku...
  9. Makubaliano ya wanandoa kuchepuka

    Baadhi ya wanandoa hukubaliana mmoja wao achepuke.Kwa mfano mume mwenye dosari kwamba jogoo hawiki huongea na mkewe,akachepuke na mke hufanya hivyo,huku akimuarifu mumewe kila stage.Halikadhalika mke mwenye doasari humruhusu mmewe kuchepuka,na mara nyingi mke hutafuta mwanamke kwa ajili ya...
  10. Ingekua wewe ungefanya nini?

    Pale ambapo asubuhi unagombana na mkeo ama mwenza wako ambaye mnaishi nae na baada ya hapo kila mtu anaenda kwenye mishe zake za kila siku. Jioni unajikuta wewe ndio umewahi, ukiwa umepumzika unamsubiri, kumbuka mligombana asubuhi na mwenzio aliondoka bila furaha. Anarudi unamuona ana furaha...
  11. Kupatanisha wanandoa

    Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
  12. M

    Madeni ni chanzo cha uke mkavu na Kukosa hisia za Mapenzi. Wanandoa epukeni Madeni

    Madeni na changamoto za kifedha vinaweza kuathiri afya ya mwili kwa njia nyingi, ikiwemo afya ya Uzazi wa Mwanamke. Wakati mtu anakabiliwa na Msongo wa Mawazo kutokana na hali ngumu ya kifedha, mwili hutoa homoni za Stress (Cortisol) kwa wingi ambayo huathiri uzalishaji wa Homoni za Kike yaani...
  13. Kesi nyingi za wanandoa ni kupangiana au kunyima unyumba

    Ni aibu sana au kukuta mtu jasiri akitamka kuwa mizozo na kushindwa kuelewa ni unyumba. Shida hii inaweza kuwa kwa mwanaume au mwanake kila mtu kuwa na sababu zake mfano utafutaji,kukosekana kwa ubunifu,kupungua kwa mapenzi,kuzoeana na kujuana sana kabla mjaingia kwenye ndoa. Sababu zengine...
  14. Vibali zaidi ya 200 uhamisho watumishi wanandoa kutolewa wiki ijayo

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema ndoa nyingi za watumishi wa umma zinakufa kutokana na wenza kukaa mbalimbali na kwamba wiki ijayo vitatolewa vibali zaidi ya 200 ili wasogezwe na familia zao. WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya...
  15. Hizi ndo suluhisho kwa wanandoa

    hizi zinaitwa chastity belts ni za medivial period (zama za Kati) zilikua zinatumika kama njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake ili wasichepuke lakini pia, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa madhumuni yake makuu yalikuwa kuwakinga wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na safari...
  16. VIDEO:- Neno moja kwa utamaduni huu kwa wanandoa wapya.

  17. D

    Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  18. Wanandoa wengi walishaachana kwenye nafsi zao ingawa kimwili wanaonekana wapo pamoja lakini si wamoja

    Habari za jumapili waungwana wa jukwaa hili, Katika hali ya kawaida kama ilivyozoeleka na wengi katika ulimwengu wa maraha na mahaba ukimuuliza mwanandoa sababu ipi iliyomfanya aolewe/ amuoe mwenza wake na kudumu nae miaka yote.....jibu linatakiwa kuwa jepesi kuwa KWA KUWA NI CHAGUO LANGU NA...
  19. Raisi Trump aikosoa vikali sheria ya talaka kwa wanandoa

    Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali. "Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata...
  20. Nijuzeni utaratibu wa kusitisha bima ya afya kwa wanandoa

    Kama mada inavyojieleza Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima. Mchango wenu tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…