wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali bora ni ile inayowajibika kwa wananchi wake

    JE, SERIKALI INAPASWA KUWAJIBIKA KWA WANANCHI WAKE? Ndiyo, serikali inapaswa kuwajibika kwa wananchi wake.Makala hii inaelezea namna ambavyo serikali inapaswa kuwajibika kwa wananchi wake. Utawala bora ni dhana inayohusu jinsi serikali inavyopaswa kuendesha shughuli zake kwa kuzingatia...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi yenye watu Jeuri na kutamba kama Tanzania? Sipati picha iwapo tungekuwa na Uchumi wa hata Dubai tu!

    Niambieni, kwa jinsi walivyosimama hapo na mwonekano wao,unadhani ni nani anayedhaniwa kuwa ndo anatakiwa asainishwe mikataba ya DP word? Kati ya nchi ambazo watu wake ni jeuri, walisharidhika na umasikini wao, na mambo yao ni poa sana, na wenye uwezo wa kuuza chochote bila kufikiri ya badaye...
  4. JamiiForums Tanzania Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

    Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri. Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali isilete tena hoja za mikataba kwa wananchi

    Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua? Mpinzani hata huyo...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Wanaozunguka Uwanja wa Ndege wa KIA Watakiwa kuwa na Subira ya Malipo ya Maeneo yao

    WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia ya maeneo yao kwani tayari imeshafanya tathmini na uthamini kwasasa wapo katika hatua za mwisho za...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tsh. Bilioni 822 za TARURA kuwanufaisha wananchi kupitia RISE

    ZAIDI YA BILIONI 822 ZA TARURA KUWANUFAISHA WANANCHI KUPITIA RISE Wananchi katika Mikoa ya Iringa, Tanga, Lindi na Geita wanatarajiwa kunufaika na Mradi wa Uboreshaji wa Barabara Vijijini kwa Ushirikishaji wa Jamii na Ufunguaji wa Fursa za Kijamii na kiuchumi (RISE), ambapo zaidi ya shilingi...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

    Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga. Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
  9. JamiiForums Tanzania Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

    "Nimeona kwenye mtandao, ndugu yangu balozi Dkt. Wilbroad Slaa na yeye akieleza mambo yake kwenye mtandao, moja ya watu ambao kwa miaka mingi nimewaheshimu, kwa umri wao, kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt Wilbroad Slaa. Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake, kwa hadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Serikali inaposhindwa kujieleza, sisi wananchi tuchukue hatua gani?

    Kuanzia Mawaziri, Wakurugenzi na hata Wabunge wa chama chetu (CCM) na viongozi wa kichama na kiserikali wameshindwa kuiona, kuipata na kuijibu hoja ya wananchi kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye Bandari zetu. Ni mkataba kati ya Tanzania na Emirati kupitia kampuni ya DP World. Hoja kuu ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unagombanishwa kwa wananchi kuzuia kuuza mazao nje ya Nchi. Unatutakia Watanzania umaskini wa lazima

    Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya kimataifa. Kwenye uwekezaji wa Royal Tour nia njema nilikupa 100% utekelezaji unahitaji maboresho kidogo...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Kulinda Haki za Kikatiba: Jukumu la Serikali katika Kuwalinda Wananchi wakati wa Maandamano ya Amani

    KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha demokrasia inazingatiwa katika nchi yetu. Uhuru wa kujieleza na kuandamana ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mnaosema bandari imeuzwa tunaomba mtueleweshe imeuzwaje, na kwa kiasi gani

    Huu mjadala wa kwamba bandari ya Dar imeuzwa na nyingine zote zimeuzwa unakolezwa sana. Tuondoe u-CCM na u-CHADEMA naomba kueleweshwa kua bandari imeuzwaje, kwanini nataka kueleweshwa. Kabla ya bunge kupitisha na kuridhia mkataba wa serikali kuingia ubia na Dubai maneno yalikua mengi kua...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wanayohaki ya kuandamana kwa hili

    Jeshi la Polisi kwanini mmezuia? Ni haki ya wanaoandamana kama ilivyohaki ya wanaondamana kupongeza juhudi za serikali. Kwanini hawa huwa mnawaruhusu? Kwani familia zenu zipo Uarabuni au Zimbabwe? Mkataba ule utatuliza wote mimi na nyingi na Watanzania wote wakati Rais Samia atakuwa kastaafu...
  15. JamiiForums Tanzania Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kila waziri anaongea yake kuhusu Bandari, Wananchi wanazungumzia MKATABA!

    Rais Samia aliwahi kumtukana waziri wake kwamba alifanya 'nonsense'. Limekuja suala ya kuuza bandari sasa kila waziri na wanasiasa wanainuka kutetea uuzwaji huo wanaongea nonsense! Lukuvi kajitutumua akajikuta nonsense yake inaeleza umuhimu wa kuvutia wawekezaji. Wananchi wanazungumzia MKATABA...
  19. JamiiForums Tanzania Peter Mwambuja: Wananchi wajiandae kutozwa tozo zaidi

    Kwa bajeti ambayo imetoka kwenye Trilioni 41 kwenda kwenye Trilioni 44 na imeelekeza pesa kwenye matumizi ya kawaida haipeleki meseji kwamba inaweza kuwa ni kubana matumizi, tunabana matumizi kama sehemu ya kudhibiti uchumi, kupunguza mgandamizo wa fedha. Kwa nature ya bajeti yetu unaona kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Sikilizeni Wananchi: Nguvu ya Maoni katika Kuleta Mabadiliko

    SIKILIZENI WANANCHI: NGUVU YA MAONI KATIKA KULETA MABADILIKO Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Katika ulimwengu wa leo, sauti za wananchi zina nguvu kubwa katika kuleta mabadiliko katika jamii. Kusikiliza maoni na matakwa ya wananchi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…