wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwenye Haki za Wananchi, Awamu Hii, Nchi Ipo Kwenye Hali Mbaya Kuliko Awamu Yoyote

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo. Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii. Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
  2. R

    Nini kifanyike kurejesha imani ya wananchi kuhusu uchaguzi?

    Baada ya siasa za Tanzania kufanywa na dola badala ya wanasiasa imani ya wananchi imepotea kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Awali ilikuwa dola haijitokezi adharani kudhibiti wanasiasa ila kwa zaidi ya miaka nane sasa wanasiasa wameonyesha kuweka dola mbele zaidi. Je ni lini dola...
  3. Suma Fyandomo (Mb) Atua Mbeya Vijijini Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    SUMA FYANDOMO ATUA MBEYA VIJIJINI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA "Tujiandikishe ili tuweze kumchagua kiongozi ambaye kila mtu anaona anafaa, kila mtu anayo hiari ya kuchagua Kiongozi ambaye anaona anamfaa. Kujiandikisha na kupiga kura ni haki ya msingi ya kila mtu na ndiyo uzalendo wenyewe"...
  4. R

    LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  5. LGE2024 Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu, ahimiza wananchi kujiandikisha.

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
  6. LGE2024 Kauli za kuupoteza Upinzani Nchini zinavyopoteza Wananchi kujiandikisha kupiga kura Tabora

    Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa. Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
  7. P

    Kwa mwitikio huu hafifu wa wananchi kujiandikisha, Serikali wana la kujifunza!

    Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa, ni wananchi wachache sana ambao wamejitokeza kwenda kujiandikisha. Nilipojaribu kuwahamasisha wakajiandikishe, nilisikitishwa na nilichoambiwa. 1. Wananchi wengi miongoni mwa niliowauliza wanatambua umuhimu wa...
  8. LGE2024 Wananchi ni kama wamegoma kujitokeza kujiandikisha Olasiti, Arusha, kwani shida ni nini?

    Hivi ndivyo ilivyo katika Kata ya Olasiti pande za Chuga, jamaa ameshea video akionesha mwitikio ni mdogo sana, Wananchi wanajitokeza kwa uchache sana kujiandikisha. Ndugu zangu kwani shida ni nini?
  9. LGE2024 Wananchi Mbeya Jiji ni kama wamekata tamaa ya uchaguzi

    Licha ya viongozi wa vyama na serikali kuhamasisha Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura, hali ni tofauti na matarajio yao. Wananchi wamekuwa na mwitikio mdogo sana katika zoezi hilo na hii ni kutokana na Wananchi kuona hakuna umuhimu wa kupiga kura. Nimepata bahati ya...
  10. TEMESA tunaomba mlizingatie hili kwa Wananchi wa Kigamboni

    Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi. Pili, tunashauri wale majamaa wanaopanga magari jioni waache nafasi ya kutosha. Sasa hivi magari yamejaa mpaka kwenye njia za watembea...
  11. LGE2024 Waziri Bashungwa aongoza uhamasishaji Wananchi wa Karagwe kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
  12. LGE2024 Serikali itoe elimu kuelimisha wananchi umuhimu wa kujiandikisha, huo utaratibu wa kuwafata majumbani kuwaandisha haulisaidii taifa

    Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha , Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na...
  13. Hivi Serikali inanufaika nini na wananchi wengi kujiandikisha na kupiga kura? Mbona hamasa ni kubwa mno?

    Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba. Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA. Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii...
  14. K

    Rais kuwekewa zuria barabarani wananchi hawana barabara!

    Nilishauliza je utamaduni wetu ni tatizo? Kwa wenzetu Maraisi wanajaribu kufanana na watu wao lakini Tanzania Raisi ni kama mfalme au malikia! Raisi Samia kutandukiwa zulia kila mahali wakati wananchi wake hawana barabara, maji, kazi na wana maisha duni ni kitu cha kutafakari sana. Nitoe tu...
  15. Nishati Safi ya Kupikia: Kupata Kipato kutoka kwenye Carbon Credit kwa kuhakikisha wananchi wanapikia nishati safi

    Kutokana na Kampeni za Mazingira na kuhakikisha nchi haziendelei kuharibu Dunia yetu, Kuna kiwango fulani ambacho kimewekwa katika viwanda (hususan katika nchi zinazotoa / zalisha sana Carbon) kwamba wasizidi kiasi fulani. Sasa kuna nchi kama Tanzania yenye misitu na haizalishi sana Carbon...
  16. Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

    CCM wanalazimisha sana kukubalika Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na...
  17. Je, ni halali kwa askari wa usalama barabarani kuwatoza wananchi faini ya 30,000/= kwa kutokuwa na sticker za nenda kwa usalama?

    Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani. Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia usafiri wangu binafsi. Kiukweli njia nzima changamoto zilikuwa ni nyingi kutoka kwa hawa askari wetu wa...
  18. LGE2024 Wananchi hawajajitokeza kujiandikisha ktk daftari

    Walimu wanatia huruma katika hivyo vituo. Serikali ijitafakari. Mwisho.
  19. PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  20. Tangu mwezi wa kumi uanze, wananchi tunafurahia neema ya pesa nyingi sana

    Nashangaa Kuna watu wanalalamika maisha ya Tanzania yamekua magumu mbona wananchi tunafurahia sana maisha maana tuna viongozi wanaotujali. Tunamshukuru sana Mungu Kwa kutupa viongozi imara kupitia chama Cha ccm maana nchi imejengeka sana na wananchi tunaishi maisha mazuri na mwakani kura yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…