wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Arusha mjini watishia kususia kupiga kura uchaguzi mkuu 2025, 'Mbunge ametudanganya kama watoto, tumechoka'

    Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Muriet kata ya Skokoni one mkoani Arusha wametishia kususia kupiga kura huku wakimtuhumu diwani wa kata hiyo na Mbunge wa Arusha mjini kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kujenga kivuko kinachounganisha zaidi ya kata tatu ikiwemo kata ya Muriet Sokoni one pamoja...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipongeze Chadema kuwa vibaraka wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm) Rejea mada tajwa. Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meseji ya Heche kwa wananchi kuwa "Wanataka Kumnyonga Lissu" Inasababisha wananchi wapay attention zaidi kwa ishu ya Lissu kufunguliwa kesi ya Uhaini

    Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia maneno "Wanataka kumnyonga Lissu, Wanataka kumuua Lissu". Maneno hayo yanasababisha wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atoa salamu za Pasaka kwa wananchi wa Israel

    "Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru. “Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na Hamas, mashujaa wetu walioaga dunia, na waliojeruhiwa ambao wanapigania kufufuka. “Imbeni na kusaidiana...
  5. JamiiForums Tanzania Siku wananchi wakiamua kutoka barabarani na kudai haki yao, ndiyo siku mambo mengi yatabadilika

    Tofauti na hapo mtaendelea kutukana/ kutukanana hapa JF na mitandao yote ya kijamii . Narudia tena, siku wa Tanzania wakiamua kusimamia haki ndio siku mapinduzi yatapatikana. Tofauti na hapo, CCM itashinda sana na kuna la kufanya
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama CCM: Kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali

    “Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo sisi....." Abdul Kambaya - Mwanachama wa CCM
  7. JamiiForums Tanzania Aida Kenan: ATCL iliendeshwa kwa hasara, pamoja na kuongeza ndege, hazina umuhimu kwa wananchi, tufikiri kuwapa sekta binafsi

    Ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2023/2024, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, imeonesha kuwa mashirika kadhaa ya umma bado yanaendelea kupata hasara kubwa licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Kwa mfano, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ilipokea ruzuku ya serikali ya shilingi...
  8. JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wafunga barabara usiku wakimsubiri Heche

    Usiku wa Aprili 07,2025, Wananchi wa kijiji cha Msanga kata ya Mitesa, Jimbo la Lulindi Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wameuzuia nsafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche, ambao ulikuwa unatoka kwenye mkutano Newala mjini kuelekea Masasi wakimataka azungumze neno
  10. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wengi ukipiga nao stori wanasema CCM bila polisi hawawezi kushinda uchaguzi

    Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM. Wananchi wengi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  12. JamiiForums Tanzania Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

    Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Jimboni Ruangwa, Kwa Majaliwa, Wananchi Waunga Mkono NO REFORM NO ELECTION

    Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge. Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usaliti unaofanywa na genge la Mbowe iwajulishe wananchi kuwa Mbowe alikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko ya kweli nchini.

    Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

    G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani. Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe akataa uchawa; Aziheshimisha taasisi za kiraia mbele ya serikali

    NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali: 1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje ! 2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wananchi wamewataka wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati. Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Mbinga Mjini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano, katika Mkoa wa Ruvuma, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025.
  19. JamiiForums Tanzania Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  20. JamiiForums Tanzania WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…