wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wasishirikiane na Askari polisi wote

    Ninapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima. Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio ilikuwa option ya mwisho kwenye maisha yao. Kuanzia sasa utangazwe utaratibu wa kuto kumkopesha, kuto...
  2. JamiiForums Tanzania UKOO: Hakuna Mgumu wa Kutoa Sauti, Hata Mmoja

    Nina uchungu. Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo. Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa. Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri. Nchi haina baba na waliopo ndiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Kama wana uchungu na Wananchi kwanini Wabunge wasipunguze mishahara yao

    Mambo ya ajabu sana yanayotokana na upofu wa viongozi. Kama hao wabunge wana uchungu sana na afya za wananchi ni kwa nini wasiridhie kutozwa hata 2% kwenye mishahara yao na kiinua mgongo kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bima ya Afya? Wananchi amkeni... Utapeli mwingine kama huu ukataliwe na...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania CCM tuache kugombana na Panya, miradi yakitaifa tuliyotekeleza inatosha kutuaminisha kwa wananchi

    Tuliahidi tukatekeleza 1. SGR from Dar To morogoro: usafiri umerahisishwa sana.Biashara zinasonga sana 2. Bwawa la Nyerere : mgao wa umeme umekwisha kabisa 3. Daraja refu kabisa africa ,kigongo busisi aka JPM brigde : kitovu cha utalii wa luingiza fedha za kigeni,usafiri umerahisishwa sana...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi (Waumini ) wafunga barabara ya Morogoro eneo la Ubungo baada ya Polisi kulizingira Kanisa la Askofu Gwajima

    Barabara ya UBUNGO kutoka Posta wananchi wameifunga Hii sasa ni balaa wananchi wanamlinda Askofu wao. Baadhi ya wananchi ( waumini ) ambao walionekana nje ya Kanisa la Ufufuo na uzima ambalo lipo chini ya Askofu Gwajima wakiwa wamefunga barabara kushinikiza kuto kamatwa kwa Askofu wao na hii...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi wachukua maamuzi magumu kuvunja chungu waliopora kibabe watoa Siku 7 wajisalimishe

    https://www.youtube.com/watch?v=F3Hn_d8HLas
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  8. D

    JamiiForums Tanzania KERO Tanzania ya sasa barabara ni mbovu hadi wananchi tunaogopa kusafiri

    Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana. Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week. This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba

    Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe. Akizungumza katika...
  10. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni hatima ya askofu aliye upande wa wananchi dhidi ya utawala?

    Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea. Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi. Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani. Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
  12. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Gaza ni ngumu kuiona nuru kwa maana wamezungukwa na watu wenye nguvu wenye kuwataka kuwaona wakiendelea kutaabika.

    Ukiwa mwepesi wa mihemuko na mbusu pete ya msimamo wa itikadi kali jibu lako litakuwa ni USA na ISRAEL ila kiukweli maudui wakuu wa Gaza ni: Qatar Iran Yemen Jordan Maana hawa ndio wanaofadika na misaada wanayopewa palestina huku wakitaka kuonesha dunia tabu ya palestina kwa kumchokoza...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

    Wakuu Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii? "Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani" "Wabunge hawa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi kuutokea kijiwe cha Mwembe Yanga walalama 'Tuna matatizo mengi, wabunge wapo kimya, wabunge wa sasa wote waondoke'

    Wakuu Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Baadhi wametumwa kuja kuangalia msimamo na mawazo ya wananchi, wala tusiwabeze, ndo kazi inayowaweka mjini.

    Mko salama wanajamvi? Niende moja kwa moja kwenye mada Kuna ndugu zetu humu, tunaweza kuwa tunawabeza, kuwatukana, kumbe maskini wa Mungu wametumwa kuangalia comments za wananchi. Ndo maana ukifatilia mada zao ni kuponda upande wa pili na kusifia tu CCM. Hata kama watu wanauwawa, wanatekwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Chilo awasaidia wananchi wake Kukuna nazi na Kupeta Mchele

    Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu! Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…