wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida

    Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida. Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  3. JamiiForums Tanzania Nyuma ya ukosoaji na ushauri unaotolewa na Wananchi kwa Serikali ndipo pa kuangaliwa kwa kina.

    Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa. Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
  4. JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi MBUNGE si muwakilishi wa wananchi tena, na hatakiwi kuwa chaguo la wananchi tena bali sasa ni chaguo la watawala

    Kwa sasa wananchi hawana haki kwa jambo lolote kwenye siasa za Tanzania, hawana haki ya kujichagulia wawakilishi wanao wataka maana zoezi hilo lipo mikononi mwa watawala nadhani sasa hakuna haja ya kuleta majina huku ni kutupotezea muda na matumizi mabaya ya fedha muwe mnamaliza wenyewe huko...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je Serikali inaweza kuwafanyia Wananchi Uhaini? Maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi

    Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi! Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nilivyomuelewa Polepole hata kama wananchi wakisusia kupiga kura, CCM itashinda tu

    Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon wamemchagua Samia then hiyo 7 million ni CHAUMMA na matawi mengine
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo nchini Kenya ni basi tu wananchi hawana silaha za moto.

    Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la wananchi linaruhusiwa Tanzania

    Habari wakuu Kuna suala la wananchi kukutana na kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali yanayotokea katika nchi upande wa siasa, jamii na uchumi. Kwa wenzetu nchi jirani, wananchi wana maeneo maalum yametengwa maalum kwaajili ya shughuli ya kutoa maoni na ushauri ,mfano pale Nairobi (Jacaranda...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Chama kinacholindwa/kukubalika kwake kunategemea sheria/dola, si kukubalika na Wananchi. Kijitazame sana

    Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki. Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wahuni Wameteka Kila Kitu, Wananchi Waende Wapi?

    Mpaka sasa, kama alivyosema Polepole, wahuni wamefanikiwa kuteka kila kitu: 1. Wahuni wameteka dola, ndiyo maana tunaona hakuna chombo chochote cha ulinzi na usalama kikishughulika na kuwakamata wanaoteka na kuua wananchi. Badala yake, dola inafanya kila namna kuwalinda watekaji, wauaji na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa usiku, mchana uwe tayari kusikiliza wananchi

    Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi. "Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha...
  15. JamiiForums Tanzania Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa rais Samia kwa Wananchi wa Kisesa

    1. Luhaga Mpina atapewa kazi maalumu (kazi hiyo ni kuwahadaa watu kupitia ACT Wazalendo) 2. Luhaga mpina atakuwa mbunge wataifa (baada ya uchaguzi amepanga kumpa nafasi 1 kati ya zile 10 za rais bungeni) Mwisho wa igizo.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya awamu ya sita haisikilizi kabisa maoni ya wananchi?

    Sijajua kuhusu awamu ya kwanza lakini awamu ya pili ya rais Mwinyi, awamu ya tatu ya Mkapa na awamu ya nne ya Jakaya Kikwete ziliundwa tume za kutosha ili kujibu na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na mengine kuyaondoa katika utekelezaji ikiwa jamii ilionekana kutoyaunga mkono...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Mbeya wapinga matokeo Kura za Maoni CCM, waahidi kususia uchaguzi mkuu 2025

    Hali ya sintofahamu imeibuka katika Jimbo la Mbarali, Mkoani Mbeya baada ya baadhi ya wananchi kutishia kususia Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, wakipinga matokeo ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwa mgombea aliyeibuka mshindi si chaguo lao, bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…