wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    HAJJ MANARA AHIMIZA WANANCHI WAVIMBE WASIOGOPE

    The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana amewahimiza wana yanga kuvimba kuviiiimbaaa kwelikweli Kuanzia week ijayo ataendelea pia kuwepo kwenye...
  2. S

    Tupo kama kilele cha Wkii ya Wananchi kinawshusu TFF. Kama haiwahusu, wanawzaje kuwa na mamlaka nalo?

    Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya kuandika ninachotaka kukiandika hapa. Tukirudi kwenye mada, TFF kama shirikisho la soka hapa nchini, ni wazi limeundwa kwa mujibu wa sheria na shughuli zake zinafahamika na bila shaka lina mipaka yake Kwa misingi huo, si kila tukio...
  3. SoC02 Maboresho ya Sera za Bima ili kufikia lengo la serikali la kuwafikia wananchi walio wengi zaidi

    Bima ni nini? Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya kifo ambayo watu au kampuni wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya mkataba maalumu, hivi kwamba shida ikitokea shirika litoe fidia. Zipo aina mbalimbali za bima kama vile bima...
  4. A

    SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

    Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii. Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
  5. Rais Samia akiwasalimia wananchi wa Chalangwa wa Mkoa wa Mbeya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Chalangwa Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
  6. B

    Rais Samia kuzindua mradi wa Maji wa Mbalizi na kuzungumza na Wananchi

    KAZI INAENDELEA, RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI WA MBALIZI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI ASUBUHI HII SAA 5. Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Agosti 05, 2022 anatarajia Kuzindua Mradi wa Maji wa Mbalizi (Songo- Igale). Mhe. Rais Samia pia atazungumza na Wananchi wa Mbalizi...
  7. Mabilioni ya ruzuku kwenye mafuta bora yangefanya kazi nyingine tu

    Nasikitika nilichogundua Ugumu wa maisha siyo kwa wote Kuna wengine kama wale wanawekewa mafuta kwenye gari serikali ,wanaletewa vyakula nyumbani na serikali watoto wanasomeshwa na serikali ,hawa wakisikia mafuta kupanda bei wanaona kama hadithi tu. Nchi isingepitiwa na bahari hii ingekuwa...
  8. S

    Wananchi Mbeya wamruka Dkt. Tulia 'hatujamtuma bungeni kutetea wezi na walanguzi'

    Baadhi ya wananchi wa Mbeya Mjini wamesema hawajamtuma bungeni Mbunge wao Dk. Tulia Ackon kutetea wezi na walanguzi wa kuwakamua wananchi kupitia biashara ya mafuta. Hii ni baada ya wachangia kuwashambulia wananchi wa Mbeya kwamba ndiyo wamesababisha tatizo hili kwa kuwa maamuzi ya Spika Tulia...
  9. M

    Kupanda kwa bei za mafuta nchini Tanzania limekuwa tatizo na changamoto kubwa kwa wananchi imetokana na vita zinazoendelea nchi za Ulaya

    Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta. Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
  10. Traffic police ni janga la kitaifa, wanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi

    Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic. Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta makosa kwa wenye magari na wasafirishaji wa abiria na mizigo, hali inayosababisha gharama kubwa za...
  11. Wananchi wa 'Northern Malawi' tunawakumbusha waliosahau kuwa zile 'Ndege' zingine Mbili zilizokuwa ziwasili mapema mwaka huu mbona hazijatua bado?

    Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi. Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu...
  12. Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

    Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha. Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv. Wakati...
  13. SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
  14. SoC02 Ongezeko la bei za bidhaa ni chanzo cha wananchi kuishi kama watumwa

    (Picha mtandoni) Utangulizi Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni. Wananchi wengi ndani ya sehemu...
  15. S

    SoC02 Ushirikishwaji wa Wananchi katika utekelezaji wa maamuzi ni nguzo ya Utawala Bora

    UTAWALA BORA huusisha ushirikishwaji wa wananchi wote walioko ndani ya jamii au nchi kiujumla juu ya utekelezaji wa maamuzi pendekezwa na viongozi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ndani ya jamii na taifa kwa ujumla kwa kuzingatia haki na usawa wa kila mwananchi aliye ndani ya jamii husika...
  16. M

    Je, maadhimisho ya siku ya wakulima, maarufu kama nanenane yana tija yoyote kwa wananchi wa Tanzania?

    "Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022. Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
  17. Kwa wenye akili tu: Uwakilishi wa bunge uwe automated, wananchi washiriki ki-digitali, hatuhitaji wawakilishi

    Wasalaam, Kama una akili chakata hili. Hatuitaji wawakilishi, watu wanaokua fatly paid, wanaenda kulala bungeni. Mawazo ya wananchi yanaweza kupatikana online, kwenye platform official itakayo ruhusu michakato na deliberations ya issues za kitaifa na kimataifa. Gone are the days where...
  18. Unguja: Waziri Dkt. Stergomena afanya ziara kutatua migogoro ya ardhi kati ya jeshi na Wananchi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewatembelea na kuongea nao Wananchi wa maeneo ya Visiwa vya Unguja kuhusu namna watakavyoshirikiana katika kutatua migogoro ya ardhi baina yao na vikosi vya Jeshi. Akiwa kisiwani humo, Stergomena alipata fursa ya...
  19. Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  20. Ukweli ni kwamba Kocha Pitso Mosimane haji Wananchi Day kwasababu ya Yanga SC, bali ni Uswahiba wake mkubwa na CEO Senzo Mbatha

    Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC inamleta Kocha Pitso Mosimane katika 'Wananchi Day' yenu. Ukweli ni kwamba CEO Wenu Jezi Mbovu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…