wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kambi kwa Wanafunzi wa Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu

    Natumai barua hii itakufikia salama. Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliye katika Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu, wilayani Rombo. Nimeandika barua hii kuwasilisha maswali na malalamiko yangu kuhusu kambi inayotarajiwa kufanyika kwa wanafunzi wa Kidato cha Pili kwa gharama ya shilingi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  5. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa akerwa wanafunzi kukaa chini: Nadhani ameingia leo Tanzania

    Maisha ya kibongo ni vituko tu.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mwongozo unyonyeshaji wanafunzi waliojifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao badala yake wazazi kuwajibika kuwalea

    Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya kuwajibika kuwalea wanafunzi na watoto wanaorudi shuleni. Novemba 24, 2021 aliyekuwa Waziri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  8. JamiiForums Tanzania Moshi: Bweni laungua moto, wanafunzi 50 wanasurika

    Zaidi ya wanafunzi 50 wa Shule ya Sekondari ya Kaloleni Islamic ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika kuungua na moto baada ya bwenì walilokuwa wakiishi kulipuka moto leo saa saba mchana. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limefika katika eneo la tukio na kufanikiwa kuzima moto katika bweni...
  9. JamiiForums Tanzania Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi Teofilo Kisanji University (TEKU) hatujapata vyeti vyetu vya digrii 2024 hadi leo

    Habari za muda huu Sisi kama wanafunzi wa digrii tuliomaliza chuo mwaka Jana 2024 katika chuo kikuu TEOFILO KISANJI tunamalalamiko juu ya kile uongozi wa chuo unavotufanyia watahiniwa wake kuhusu vyeti vyetu ambapo Hadi Leo tarehe 29/1/2025 hawajatupa vyeti vyeti na hawajatoa au kutupa taarifa...
  13. JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi Saba wafariki na wengine kujeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Paskas Muragili amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo Jumatatu...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

    Wakuu, Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini? Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia. Lengo la...
  16. JamiiForums Tanzania Mwalimu aliwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza

    Mwalimu analiwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza. Matokeo yake ni ya kusisimua 📸 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10 11. 12. 13. 14.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wenye IQ kubwa ni wale waliopata division 1 shule za kata hasa vijijini, wana upeo mkubwa wa kusoma bila walimu, tuition, past papers

    N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake. Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa zaidi, sawa au kuwakaribia hawa waliosoma kwenye mazingira wezeshi na yenye kila nyenzo zinazohitajika...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaopata ufaulu wa Division One Point 7, kama hawakukariri wapelekwe University moja kwa moja

    Nchi hii ina miujiza mingi sana Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7 Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza. Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti THBUB: Hali ya haki za binadamu nchini inaendelea kuimarika kutokana na uelewa wa watu kuongezeka

    Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salmin Amour iliyopo katika Manispaa ya Singida hivi karibuni Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Mohamed Khamis Hamad, alisema, hii ni kutokana na watu kuwa na uelewa wa kuibua masuala ya uvunjifu wa haki za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…