PART 1.
Salaam, Shalom!!
INTRODUCTION.
(Hesabu 23: 19)
Mungu Si mtu aseme uongo, Wala Si mwanadamu ajute.
Iwapo amesema, hatalitenda?
Iwapo amenena, hatalifikiliza?
(Isaya 34:16)
Tafuteni katika kitabu Cha BWANA,Mkasome, HAPANA katika hao wote atakayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa...