wanachama wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kibondo, Kigoma: Wanachama 36 wa CHADEMA wafutiwa kesi na kuachiwa huru

    Hawa wanachama wa Chadema walikamatwa na kuburuzwa Mahakamani, kwa kosa kubwa la kukutwa kwenye kikao cha ndani wakijisajili kwa njia ya kisasa ya CHADEMA DIGITAL. Leo serikali imetangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo. Hata hivyo wanachama wa Chadema kwa maelfu wanakabiliwa na kesi...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

    Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary? Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
Back
Top Bottom