Watu 38 wakiwemo viongozi, makada na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wameshikiliwa na Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kusababisha vurugu na taharuki katika mji wa Musoma wamepewa dhamana.
Kati ya waliokamatwa yupo Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha)...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema:
“Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA .
1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote.
2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni.
3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi.
4. Maelfu kwa maelfu...
Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao.
Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa.
Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
Wakuu!
Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo leo Mahakama itaanza kusikiliza shauri ndogo la kumtaka Jaji Hamidu Mwanga...
Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
Wakuu,
Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho.
Uamuzi huo umetangazwa mbele ya waandishi wa habari na Atafat Hamad Ali, aliyekuwa Katibu wa Baraza la...
Kwanini? Kwa sababu hao wote wanaohama walikuwepo kwenye chaguzi za 2019, 2020, 2024, na hakuna chochote cha maana kilichofanyika. Haya mambo yako wazi kwa kila mtu, kwamba bila ya uwepo wa mabadiliko ya Kikatiba, Kisheria na Kikanuni, hakuna chochote kinachoweza kuthibitisha kuwa tuko kwenye...
Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za uchaguzi na huku wakitambua kufanya hivyo kutawazuia wao kushiriki uchaguzi Mkuu.
Jambo hilo sio tu...
Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao.
Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na kushauriana baadhi ya mambo kuhusu uchaguzi Mkuu na jinsi wanavyoweza kujiandaa na uchaguzi huo.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya.
Chadema imelaani vikali hatua hiyo, ikitafsiri kama matumizi mabaya ya...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao wenyewe ndio walikuwa wakiaminisha watu kwamba Mwenyekiti wao Tundu Lissu hatoshi katika nafasi hiyo...
Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao.
Shari inayombatana na masharti juu ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Freeman Mbowe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Jumapili Desemba 15, 2024.
Updates...
Mbowe
CHADEMA inaoutofauti na vyama vingine vya upinzani kwa sababu...
Awali ya yote napenda kusema mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini kama Mtaanzania na mwanadamu ninachoamini mimi ni kwamba Siasa ni sehemu ya maisha yangu.
Nimekua mfuatiliaji wa mambo mengi ya Kisiasa hapa nchini kwa muda mrefu kwa sababu naamini ni wajibu wangu.
Tangu tarehe 12/12/2024 Mh...
Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS...
Mshikemshike umeanza
Imeelezwa kuwa wanachama takribani 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuwafanyia vurugu wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kijiji na kata
Akizungumza na Jambo TV leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.