Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema.
Leo hii ghafla, na kwa makusudi,
chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
Ni wazi CHADEMA inaelekea kupotea kwanye medani ya siasa za Tanzania ikiwa katika hali ngumu, baya na dhaifu sana kiuchumi, kisiasa na kijamii hasa baada ya kukosa kabisa agenda hata moja ya kutetea mambo yanayohusu mahitaji ya kila siku ya wananchi bali kwa kujikita kuwatumia wanachi kutetea...
Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama...
Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja.
Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
To the point.
Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA.
Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale...
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye...
Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema?
Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema?
Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine.
2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji...
Lissu alipanga kunifukuza uanachama wa chadema kwa kosa dogo tu la kusema tushiriki uchaguzi.
Akaagiza tawi langu liniandikie barua ya kujieleza. Kwa kweli la kumkuta limkute, ndivyo madikteta wanaishiaga hivyo kama Samuel Doe, Al-Bashir wa Sudan na Charles Taylor
Kwasababu uongozi wa Lisu hakubaliki kwa wanachadema na agenda zake za kuwatenga wanachadema na michakato ya kidemokrasia, zinapingwa na wanachadema wengi kuelekea uchaguzi mkuu wa October.
Na ndio maana unaona amekamatwa na polisi na hakuna mwanachadema anaeshtuka, anaesikitika wala kubabaika...
Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana.Hawa watu wanaenda kuuwa chama.
Washauriwe wajiuzuru .Hadi Sasa hakuna hata moja wamewin.Nitahamasisha WANACHADEMA wenye uchungu na hiki chama kufanya maandamano ya amani kushinikiza Hawa watu wajiuzuru kama...
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda.
Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura.
Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka.
Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu...
Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa.
Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa.
Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje!
Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,
Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?
Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
Aiseeh!
Uongo unasifa zake. Unakanuni zake. Uongo unahitaji watu wenye Akili kubwa ili kuufanya uaminike na uonekane ni KWELI.
Sasa nimemsikiliza Wenje nikaishia kucheka tuu. Kama hawa ndio watu ambao Mbowe anawategemea na ndio nguzo itakayobaki ya CHADEMA Basi Wanachadema watakuwa wamepoteza...
Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho.
Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada wake, kuwalinda na kuwatetea na kuwafariji.
Hata hivyo huwa nashangazwa na Mbowe ambaye yeye kama...
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.
Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X
Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena.
Muda mwingi amekuwa akijibu shutuma zinazomhusu na kujitetea kwanini anastahili kuendelea kukalia hicho kiti kwa miaka...
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo.
Lissu amesindikizwa na kundi dogo...