wamalawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

    Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Chakwera aliwahi kukosolewa kwa kujaza ndugu zake kwenye Baraza la Mawaziri. Je, anafaa kwa mazungumzo ya Maridhiano?

    Huyu ndiye anakuja kutusuluhisha. Birds of the same feather flock together. Mwaka 2020 lipoteuliwa kuwa rais kwenye baraza lake la Mawaziri aliwajaza ndugu zake huku akimteua Mtu na Mke wake kuwa mawaziri ambao walikuwa ni ndugu zake. Aliyekuwa mgombea mwenza wake Sidik Mia, alichaguliwa kuwa...
  3. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Jumamosi ijayo chini ya Patrick Mabedi, mapema tu wamalawi wanakufa kama kikipangwa

    I salute you kinsmen Folz tayari kishamlamba na sasa tuangalie mbele zaidi na kaimu kocha Mabedi.. Ila nina imani kuwa Bala mussa conte sio mbaya kihivyo ila mfumo tu ule ulimkataa. Kama jumamosi kikosi kikiwa hivi hakika tunaua mbu kwa rungu la kipepe. 1️⃣Diara 2️⃣hapa acheze assinki...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hata humu JF na mtaani wanajifanya wajanja sana na waelewa ila Wazazi wao wanasombwa na Malori waende kwenye mikutano ya CCM

    Wale Wazazi wanao sombwa na malori kule bushi wana watoto wao mijini na wengine hata ni members wa JF. Ila sasa ukiwakuta huko mjini au humu utawaona ni watu waliopiga hatua kubwa ya upeo wa fikra kumbe ni full wajinga tu. Sasa kupiga hatua ya upeo kuna maana gani kama Wazazi wako wanasombwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mgogòro wa biashara na Malawi: wamalawi waja juu.

    Hamkani hali sio shwari. Hatua ya waziri Bashe imeibua hisia kali za wamalawi dhidi ya tanzania. Ikitajwa kuwa inafanya bullying https://www.nyasatimes.com/opinion-tanzania-is-a-bully-lets-rally-behind-vitumbiko-mumba-and-stand-for-malawi/
  6. FRJ255

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukithiri kwa wahamiaji haramu Tanzania hasa kutoka Malawi

    Maeneo mengi ya Tanzania mfano Dar es Salaam na Pwani kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wahamiaji haramu hasa watu kutoka nchi ya Malawi ambapo wameathiri sana ajira na vibarua kwa wazawa. Mfano kuna kampuni ya ulinzi ipo Dar es Salaam, 70% ya walinzi ni Wamalawi Kuna baa na lodge, shule na...
Back
Top Bottom