Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili
Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z
Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
My people,
Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote
Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa...
Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,
Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,
Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
“Bro una miaka 28 na bado hujaoa?”
Hili swali linaulizwa kwa upole lakini linatia presha kichwani. Hasa ukitokea familia au jamii inayopenda harusi kuliko kunyanyuana kimaendeleo. 😂
Siku hizi kuna mjadala wa moto: wanaume wanaooa mapema, wanafanya hivyo kwa sababu wamekomaa kimaisha na kihisia...
Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha.
. Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.