walimu

  1. JamiiForums Tanzania Walimu wanne wakamatwa wakituhumiwa kufanya utapeli kwa safaru ya kimtandao Mwanza

    Jeshi la Polisi nchini, linawashikilia walimu 4 na mfanyabiashara mmoja, kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency) na matokeo yake kutoweka na fedha zao walizowekeza. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Balaa la walimu waliozaliwa mwaka ya 1980

    Ualimu ni taaluma inayotaka nidhamu na maadili ya hali ya juu. Hilo ni kwa kuwa ndio taaluma inayohusiana moja kwa moja na malezi ya watoto. Hata hivyo, uzoefu unaonyesha kada hiyo imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimball, Ikiwamo utovu wa maadili na ukengeukaji wa miiko miongoni mwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  4. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU WAITWE KWENYE USAILI LA SIVYO MSONGO UTAWAUA

    Sekretarieti ya Ajira mna tupa tabu ya kuishi na walimu waliomba kazi kila mda oya mtandaoni hakuna jipya, fanyeni kuwaita kwenye hizo interview.
  5. JamiiForums Tanzania Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Walimu wapangiwa vituo vya usaili

    Tume ya uchaguzi imewapangia walimu walioomba ajira za tamisemi vituo vya usaili, kuona kama umeitwa ingia Ajira portal sehemu ya Notification.
  7. JamiiForums Tanzania Ijue 'Aptitude Test' na inavyoweza kutumika katika usaili wa walimu 2024 na kada nyinginezo

    THE APTITUDE TEST OVERVIEW (Written Aptitude Test): Mtihani wa Uwezo: Maelezo, Utaratibu wa Kujiandaa, na Angalizo Muhimu by Josephat. 1. Nini Mahana ya Mtihani wa Uwezo (Written Aptitude Test) ? Mtihani wa uwezo (Written Aptitude Test) ni jaribio linalopima ujuzi na uwezo wa mtu katika...
  8. JamiiForums Tanzania Waraka kwa walimu wenzangu

    Huu mwezi kumetokea matukio mengi kwa Walimu na wanafunzi, Walimu wakitoa vipigo vikali sana kwa wanafunzi, wanafunzi wakipokea ngumi chembe kidevu, ngumi za macho, fimbo 50. Sikatai wanafunzi wasipigwe lakini, piga fimbo zako tatu au nne then pita kushoto, sasahivi mitandao imeleta mapinduzi...
  9. JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu mnajiandaaje na Usahili?

    Hello, Kwa walimu wenzangu na wenye experience na interview za utumishi, tupeane updates. Kama ni mwalimu wa Geography inamaana nijiandae vipi? Nisome course za Education like EP, EP, Psychology,,,au nisome subject matter. Yaani nijiandae na Geography contents. Najua interview Kwa walimu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu wakenya wanaofundisha Tanzania wailaumu serikali ya Tanzania kwa kuwakosesha ajira

    Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania. Wanasema ; 👇👇👇👇👇 " Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya darasa la 7. Lakini sasa hivi mitihani ya darasa la 7 imefutwa. Ipo mitihani ya kidato cha 2...
  11. JamiiForums Tanzania Zile Milioni 50 za goli la mama unajenga nyumba mbili za walimu 2 in one

    Ndio hivyo, Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha.. Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi, Wanunue chakula, Wapate nauli ya kwenda kazini, N.k Wakati kuna milioni nyingi tu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaosubiri mshahara huku mkijua ukiingia utaishia kulipa madeni tukutane hapa ili tufarijiane.

    Bado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo. Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.
  13. JamiiForums Tanzania CHAKUHAWATA chaendelea kusajili idadi kubwa ya wanachama

    Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT. Wilayani Butiama mkoani Mara kumekuwa na kasi kubwa ya uhitaji na ujazaji wa fomu za kujitoa kwenye chama chao cha...
  14. JamiiForums Tanzania Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

    1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga. Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia 2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi. 3...
  15. JamiiForums Tanzania Zoezi la upandishwaji Madaraja kwa walimu haliendi kwa haki

    Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke. Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza kazi miaka ya nyuma na waliguswa na usitishwaji wa upandishwaji lakini hawajaserereshwa. Sasa hili...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliochaguliwa kwenye kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura ni Walimu tupu

    Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa wanafunzi kwenda shule hadi Jumapili udhibitiwe

    Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa. Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje ya ualimu mnatia aibu mpaka nafasi za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura mpoo. Mnafosi...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO BANK ya ABC inadaiwa kutapeli Walimu

    Hii bank kuna walimu wanaipigia kelele kwamba wanakata deductions kabisa za makato ya mkopo ambao hawajautoa kabisa na wakipigiwa simu wanajibu kirahisi shida mfumo. Sasa kama shida ni mfumo mbona kwenye kukata tena ambacho hamjampa muhusika mfumo hausumbui? Vyombo vya dola chunguzeni hii...
  19. JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
  20. JamiiForums Tanzania John Pambalu na Wana-CHADEMA acheni kuwakebei walimu kuwa hawajitambui kisa Mwabukusi nafuu yao kuliko nyie

    CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani. Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea. 1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha. 2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…