walimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa economics hawajumuishwi kufundisha somo la business studies?

    Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Napinga kwa nguvu zote baadhi ya member humu kuwaona walimu kama "special group"

    Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti...
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa somo la Geografia kwa walimu

    Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana. Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979 Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948 Na ambao hawajachaguliwa (Not selected) jumla ni 20,031 Ukuzidisha kwa idadi ya mikoa yetu 26 utaona kila mkoa wameitwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hiv?,

    Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hivI?
  6. JamiiForums Tanzania Mgomo wa walimu hautakoma, tunaua watoto wetu

    Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge Walimu nao wamegoma Na mgomo haukutangazwa hadharani Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali 1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu Yaani walimu ikifika saa 4...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi walalamikia walimu Ilala, kisa chakula cha shule

    BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi 1,500 ya gharama ya chakula na masomo ya ziada katika shule hizo. Wakizungumza...
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi na walimu mnaweza kujifunza kupitia huyo mtoto!

    Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
  9. JamiiForums Tanzania Kama usaili ndo huu basi si kigezo cha kupata walimu bora.

    Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500 Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini. Ila cha kushangaza ubora wa mitihani na upimaji ni hovyoo kabisa kwani sidhani kama watahitaji walimu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wenye IQ kubwa ni wale waliopata division 1 shule za kata hasa vijijini, wana upeo mkubwa wa kusoma bila walimu, tuition, past papers

    N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake. Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa zaidi, sawa au kuwakaribia hawa waliosoma kwenye mazingira wezeshi na yenye kila nyenzo zinazohitajika...
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mchengerwa, sisi walimu wa Wilaya ya Busega tunaomba msaada wako juu ya Mkurugenzi wa Wilaya

    Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Ndugu Marco Kachoma. Tangu mwezi wa Agosti 2024, tulipomuandikia barua...
  12. JamiiForums Tanzania Usaili wa Kuandika Ajira za Walimu Daraja la III C Maswali Gani Yataulizwa?

    Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025. Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jamanii Shule ya Msingi Sinza ni chakavu, madarasa yamebomoka na Ofisi ya Walimu nayo imebomoka

    Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni huzuni kubwa kama sio mshangao, hali hiyo imenifanya nibadili uamuzi na kuamua kumpeleka kwenye Shule...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test Usaili wa walimu

    Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test 1. Tambua Majukumu Yako ya Kazi Anza kwa kuelewa kwa kina majukumu yako ya kazi. Unganisha majukumu hayo na dhana maalum, kanuni za utendaji, au moduli zinazohusiana. Hii itakusaidia kuelewa lengo la swali, nini kinachopimwa, na...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu musipumbazwe na kota jengeni nyumba zenu binafisi kuna kustaafu

    Utangulizi Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na PhD. Niwaase walimu usikae kota zaidi ya miaka 5, jibane ukope mkopo bank usiogope kusemwa...
  16. JamiiForums Tanzania WALIMU JUA NAMNA YA KUJITAMBULISHA: *TELL US ABOUT YOUR PERSONAL, EDUCATIONAL, AND PROFESSIONAL BACKGROUND*

    Hello! Today Niwapatia Silaha Kali ya mashambulizi dhidi ya Hilo swali😃, Simply, I’m sharing a formula you can use to answer this question by focusing on things your brain will follow, helping you be logical without memorizing too much. It’s not about quantity but about how your answer aligns...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi kabla ya kwenda usaili wa WALIMU sekretarate ya Ajira mwaka 2025

    Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa ya kwenda kufundisha Marekani (kwa walimu tu)

    Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na waelimishaji wa Marekani, kubadilishana mawazo bunifu, na kushirikiana mbinu bora za ufundishaji. Usikose...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Shule za Serikali Rombo zinatoza Tsh. 40,000 kusajili Wanafunzi wa Darasa la Kwanza

    Kero. Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo. Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini kinachoendelea huku Rombo ni wizi mkubwa tena wilaya ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Elimu, Prof. Adolf...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaungana kwa pamoja kwa mafanikio ya usaili wa walimu

    Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto mlizopitia, na uzoefu wenu wa mtihani. Lengo ni kuwasaidia wenzetu wanaotarajia kufanya usaili huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…