walimu ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya kutoka Babati Vijijini hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Wilaya ya Babati Vijijini tunaomba kuwasilisha kero ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoanza kazi mwezi Februari. Tumekuwa tukifuatilia suala hili, lakini kila tunapouliza tunaelezwa kuwa fedha bado hazijaingia katika halmashauri. Hadi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Januari Halmashauri ya Mkalama hatujalipwa fedha za kujikimu wakati idara ya afya wamelipwa

    Walimu tulioajiriwa mwezi Januari mwaka huu hadi sasa tumefikisha miezi minane bila kulipwa stahiki za fedha za kujikimu. Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti yetu ili kilio chetu kifike kwa wahusika. Wakati watumishi wa afya walioajiriwa kipindi kama sisi tayari wamelipwa stahiki zao...
  3. T

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu AJIRA mpya halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna haki ya kulipwa fedha hizo, mkurugenzi amekaa kimya na hakuna majibu ya kueleweka kuhusu jambo hili.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Buchosa: Ajira Mpya Elimu Yadai Malipo Kamili

    Halmashauri ya BUCHOSA, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema tuandike barua na Kila tukiandika hakuna majibu yanayorudi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Januari 2026 tunaendelea kulalamikia kutopewa fedha za kujikimu

    Sisi ni walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026. Kwa muda sasa tumekuwa tukifuatilia malipo ya fedha zetu za kujikimu, lakini hadi sasa hatujapata majibu yoyote rasmi kutoka kwa mamlaka husika. Tumeingia mwaka mwingine wa fedha bila kupata ufafanuzi kuhusu hatima ya stahiki hizi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi kwa TAMISEMI kuhusu malipo ya fedha za kujikimu kwa Walimu wapya

    Sisi walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026 tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI kuhusu hatima ya malipo ya fedha za kujikimu. Hadi sasa zimepita takribani miezi sita tangu tulipoajiriwa, lakini bado hatujapokea fedha hizo. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Januari 2026 tumebaguliwa na kutothaminiwa na TAMISEMI kuhusu malipo ya fedha za kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026, tulioajiriwa katika kipindi cha siku 100 za Mheshimiwa Rais, tunaomba mamlaka husika, hususan Ofisi ya Rais - TAMISEMI, isikilize na kutatua changamoto ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu. Hadi sasa, walimu wengi katika halmashauri...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya halmashauri ya Wilaya ya Kwimba hatujapata fedha za kujikimu

    Leo nimeona taarifa baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wakidai kuwa wamepata fedha zao za kujikimu. Swali langu ni kwamba mbona sisi Walimu ajira Mpya bado hatujalipwa Pesa zetu? Au Kuna janja janja inaendelea. Hao waliolipwa sio Walimu labda ni kada nyingine. Tunaomba...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira Mpya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumepewa nusu Fedha za Kujikimu

    Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025. Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na ilhali sheria za utumishi wa umma zinasema tupewe ndani ya siku 7, zaidi ya hayo hatujathibitishwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mkalama-SINGIDA, walimu ajira mpya 2026 hatujalipwa pesa zetu za kujikimu

    Walimu ajira Mpya halmashauri ya Wilaya Ya MKALAMA-SINGIDA hatujalipwa Pesa zetu za Kujikimu Tangu Tumeripoti mwezi January 2026. Kila tukifuatilia Tumekuwa Tukipewa Majibu yasioridhisha kwetu sisi. Kwani Pesa ya Kujikimu kwa mtumishi wa Ajira mpya ni Haki kisheria. Hii inapelekea matatizo ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira mpya Wilaya ya Ngara walimu wanatuchukuliaje lakini! Hela tumeambiwa zipo Hazina lakini kimya ni mwaka sasa

    Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya. Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Geita Vijijini hawajalipwa fedha za kujikimu tangu Januari 2025

    Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya kujikimu 🙄. Halmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Naomba tusaidie kupaza sauti huenda mamlaka zikasikia kilio chetu tukasaidika. Sisi walimu ajira mpya intake ya March-July 2025 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Msalala hatujalipwa pesa zetu za kujikimu mpaka sasa na tukifatilia tunapewa majibu yasiyoridhisha.
Back
Top Bottom