wakwepa kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Mongolian Savage

    Wakwepa kodi wanaonja maumivu Dubai

    Wale wakwepa kodi kutoka Ulaya waliokimbilia Dubei na falme za kiarabu kwa ujumla wanaonja maumivu ya maisha baada ya Iran kushusha mabomu. Walikimbilia Dubei na kuhamishia makazi yao huko kwasababu unafuu wa kodi ukilinganisha na ulaya. Yale mapicha picha waliokuwa wakiposti kwenye mitandao...
  2. baz kaiza

    GE2025 Mgombea huyu akitoka akakemea ufisadi bila na kusema atawawajibisha mafisadi Watumishi wazembe na uwajibikaji Atalinda rasilimli za nchi wakwepa kodi

    Mgombea Urais akisema kwa kinywa chake kwamba anachukia ufisadi atawashughilikia mafisadi. Watumishi wa Umma wazembe watawajibishwa na nidhamu kwa watumishi wa umma. Wakwepa kodi kukiona cha moto kulinda rasilmali za nchi huyu ana kura yangu. Sioni mgombea anazungumzia kuku za Uchumi wa nchi...
  3. ngara23

    TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  4. Mzee wa Code

    DOKEZO Kasalali Mageni: Wafanyabiashara wa Asia na China wakwepa kodi kwa kuepuka Malipo ya Kielektroniki

    Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni, ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia, hususan China, akisema kuwa pamoja na wingi wao, wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi. Akichangia makadirio ya bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mageni amesema kuwa...
  5. K

    MANAGER WA TRA KULINDA WAKWEPA KODI

    Manager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
  6. Roving Journalist

    Rais Samia ahudhuria hafla ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi. Atoa rai kwa wafanyabiashara kulipa kodi na kuahidi maboresho kwenye tuzo hizo

    Wakuu, Rais Samia ashiriki halfa ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi wa Bora kwa Mwaka 2023/2024 leo Januari 23, 2025. https://www.youtube.com/live/TG_FM-Bmau4?si=bv6zVfSuMokVe-uk RAIS SAMIA Akizungumza leo katika hafla ya utoaji wa tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kuanzia mwaka ujao, tuzo hizo...
Back
Top Bottom