Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha