Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemthibitishia Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kuwa ofisi yake itawachukulia hatua za kinidhamu na kisheria viongozi wa ngazi za msingi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa...
Askari wa Jeshi la polisi kituo Cha Tunduru, Festo Jonathan Mathias amefariki jana Nov 8/2026 kwa kuchomwa mkuki na wafugaji wa jamii ya kimang'ati katika eneo la mto msinjewe.
MJADALA WA WAZI
MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYANI TUNDURU - TUTAENDELEA KUPOTEZA MAISHA HADI LINI?
Muda ni kuanzia saa 8:30
09/11/2026
Fuatilia mjadala huu kupitia link hapo juu
Binafsi nasikitika sana kuona Bado Kuna vifo na vurugu zinazoendelea baina ya WAKULIMA na WAFUGAJI.
Jambo linaloibua maswali mengi sana juu ya mpango mkakati wa SERIKALI dhidi ya KUTATUA changamoto hii ambayo ni hatari Kwa taifa kama hili. Taifa ambalo uchumi wake unakadiriwa Kwa takribani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.