wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

    Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala. Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu. Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  3. JamiiForums Tanzania Oa au olewa na mtu wa udhaifu wako yule wa matamanio yako ili ujivunie

    Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke

    Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞 Hakikisha unahusiana na mtu ambaye hata ukisikia sauti yake tu unapangawa, ukimuwaza unakosa utulivu bila kusikia sauti...
  5. JamiiForums Tanzania Kamwe usimrudie Ex wako

    Habari za Usiku Wana Jamiiforums leo nmekutana na huu Uzi nikaamua niwasogeze wadau ✍👇 Sababu tano za kwanini huenda EX wako anakusimbua. (FOR MEN) 1. Sasa yeye ni mama wa mtoto. 2. Ametumiwa na wanaume kadhaa, na hakuna hata mmoja aliyemjali. 3. Kizazi chake kimeharibiwa, anatafuta mwanaume...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa single Mothers: Siku ya harusi ya mtoto wako nani utakaa naye High Table? Baba mtoto au mume wako?

    Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu. Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu. Hao watoto...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mpambanaji Anahitaji Muongozo Wako

    Dear Hustler, mi ni mpambanaji mwenzenu mwenye bidii, uthubu na moyo wa kujituma kwa sasa niko Mwanza. Nimeangaika sana kutafuta kazi sehemu tofauti tofauti bila mafanikio, naomba kama kuna mtu yoyote mwenye connection ya kazi anisaidie Mbali na kutafuta kazi lakini pia nina mtaji wa 1.2m...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunenepesha nguruwe wako.

    Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus. Nitoe wito kwa wafugaji wote Tanzania ambao hawajawahi kutumia Max pig kuanza kutumia mara moja. Max Pig husaidia nguruwe...
  10. JamiiForums Tanzania Jifunze kusikiliza nafsi yako, usiende kinyume na mwili wako..!

    Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong...
  11. JamiiForums Tanzania Upi mtazamo wako kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidini jukwaani

    Nikiri sina miaka mingi sana humu jukwaani ila nilichogundua ni kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidin kwa kukejeli imani zingine kwa namna moja au nyingine binafsi ni muumin mzuri wa dini yangu japo nina cycle ya watu wengi ambao si wa imani yangu naishi nao vzr na tuna bond nzuri sana...
  12. JamiiForums Tanzania Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako.

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
  13. JamiiForums Tanzania Usiache kupenda tena, yawezekana huyo ndiye aliyekusudiwa kuwa wako.

    Usiache kupenda tena, yawezekana huyo ndiye aliyekusudiwa kuwa wako. Ukiachana na mtu usisuse ila jisahihishe kisha daka chombo tena Usikubali kuishia njiani kwasababu umeachwa, umeumizwa na mtu kwenye mahusiano yako Usijione hufai baada ya kuondoka kwake au baada ya kumuondoa kwenye maisha...
  14. JamiiForums Tanzania Israel wapo tayari kutatua tatizo la maji Tanzania

    Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam. Mpango huu unalenga kushughulikia...
  15. JamiiForums Tanzania Mdada amechoka kuishi mwenyewe bila mume

    Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane. Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza. Haya kazi kwenu, kuliko kuzeeka mwenye, nenda pale maeneo ya stendi, kamata wako, anza kumkarabati jinsi wewe...
  16. JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa Barabara ya Mpanda kwenda Kigoma na Sitalike kwenda Kibaoni wako wapi?

    Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo zimeenda bure mbona mambo yamesimama? Wananchi tulitegemea barabara itakamilika kujengwa kwa wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Tusipende kuwahukumu watu tuwanao wamefanikiwa kama hatujui kwa nini wako hivyo kwa ndugu au jamaa zao

    TUSIPENDE KUWAHUKUMU WATU TUWANAO WAMEFANIKIWA KAMA HATUJUI KWA NINI WAKO HIVYO KWA NDUGU AU JAMAA ZAO Wapo watu tunawatazama wamefanikiwa sana katika maisha yao ila ndugu zake wako nyuma sana kimaisha ukamhukumu katika ubaya tu Yawezekana hata hao wanaolalamika juu ya huyo mtu hata hapo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais endelea kuwapa stress Wabaya wako; ukimya wako umetufanya tutambue wanaokuzunguka wanakuwazia nini. Ishi nao kwa akili

    Ukimya wa Mhe. Rais kisiasa umesaidia sana kufahamu ana maadui wangapi na marafiki wangapi. Ukimya wake umesaidia sana kuona comments za mitandaoni zinavyoweza kutafsiri jamii unayoiongozia. Ukimya wake umewafanya viongozi wenzake waandike kila mtu kwa mtizamo wake kwenye makundi ya WhatsApp na...
  19. JamiiForums Tanzania Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

    Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…