One of my greatest pride as a Lawyer is representing Wanaharakati in Courts.
Jesus was a Mwanaharakati [albeit wa ukombozi wetu], John the Baptist was a Mwanaharakati, Paul the Apostle was such a Mwanaharakati that He traversed all lands of the Gentiles, St. Peter was one of the greatest...
Well deserved. Mawakili wengi wamefanya vizuri mwaka huu lakini kaka mkubwa Peterki batala amefanya vizuri zaidi. Ukiachilia mbali utetezi mahakamani, kusimamia kesi na kutoa msaada wa kisheria, pia amewalea Mawakili wengi chini yake na wamekua bora sana katika utetezi wa haki. Kama wewe ni...
Wakili Peter Kibatala amesema kwa kushirikiana na mawakili wengine watatoa huduma ya kisheria kwa Mfanyabiashara Jenifer Jovin 'Niffer' Ruthimelda Born Gregory na wengine 20 walio katika mashtaka yanayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
"kwa hiyo sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.