wake zenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

    Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu. Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume hudhurieni leba pindi wake zenu wanapojifungua

    Wizara ya Afya imekuwa ikiwataka wanaume kuhudhuria leba pindi wake zao wakijifungua ili kusaidiana na mama mzazi katika majukumu tofauti ikiwemo kuhakikisha mtoto ni wa mzazi sahihi. Kufuata vifaa ama bidhaa dukani kwa ajili ya mama mzazi, kumshika bega mama mzazi pale anaposhindwa kutembea...
  3. JamiiForums Tanzania ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni. Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
  4. JamiiForums Tanzania Darsa ya Ramadhan 1 (2022): Mke na Mume hawaruhusiwi kukutana kimwili, haswa katika mchana wa mwezi wa Ramadhan

    Assalam alaikum Katika darsa letu la leo tuta tazama baadhi ya hukumu nyeti zinazo ambatana na usiku wa mwezi wa Ramadhan. Tukizijua hukumu hizi swaumu zetu zitakuwa katika njia iliyo nyooka. Na kama hatutazijua hukumu hizi basi swaumu zetu zita haribika, itatubidi kulipa deni pamoja na kulipa...
  5. JamiiForums Tanzania Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

    Hello wakuu!, Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

    Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki. Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…